ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐. Legend John Bocco atakuwa mmoja wa wageni maalumu katika Simba Day 2026, lakini pia atashiriki mchezo wa kirafiki kama mmoja wa wachezaji wa timu ya menejimenti ya Simba. Vuta picha hapa Okwi, pale Kagere na Bocco. Kesho hiyooo. #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
24,068 ๆฌก่ง็ โข 29 ๅคฉๅ โขvia X (Twitter)
0 ๆก่ฏ่ฎบ
ๆๆ ่ฏ่ฎบ
ๅๅงๅธๅญ็่ฏ่ฎบๅฐๆพ็คบๅจ่ฟ้
