Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 #𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝐘𝐎𝐔𝐍𝐆 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍𝐒 𝐒𝐂 𝐊𝐈𝐓𝐒 2023/24🔰 Kuna tofauti ya Jezi na……….. wananchi mtamalizia🤣 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

155,766 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Zee la Vyeti (PhD)
Zee la Vyeti (PhD)vor 2 Jahren

au nihamie Yanga ?

Profilbild von MIRAMBO
MIRAMBOvor 2 Jahren

Digital digital digital. Hiki kitengo kinaishi peponi kinafanya kazi yanga😁😁😁

Profilbild von Mr Champion
Mr Championvor 2 Jahren

Nashauri tu lakini! Tuwapumzisheni makolo na wao ni binadam kisha wengine ni ndugu na jamaa zetu wa karibu wengine ni wazazi na familia pia! Humanity ni mhimu sana ndugu admin! Maisha ya furaha kuhusu kikundi chao cha mwakarobo yako mashakani! TUTAWAPOTEZA.😁

Profilbild von D E E 🇹🇿
D E E 🇹🇿vor 2 Jahren

admin utaua hapo ulipopiga mara ya kwanza ni pressure point mwache aondoke ana familia inamtegemea😃

Profilbild von farmboy20
farmboy20vor 2 Jahren

Ehee na hiphop ndani 🤣🤣 kama namuona ndugu yangu @incredible_nory anavyo teseka na @GIVENALITY wake njooni darasani msiwe mna toroka kwenda kula ndete come sit and learn a lesson 😀

Profilbild von Njiwapori 10k
Njiwapori 10kvor 2 Jahren

@bkisusi Acheni ukorofi basi

Profilbild von Mr Fixed
Mr Fixedvor 2 Jahren

Jezi ya kwenda

Profilbild von Sultan 👑
Sultan 👑vor 2 Jahren

Yanga kuanzia admin mashabik viongoz wanachama mpk timu yenyew inapenda sif sn aisee 🙌🏾🤗😉

Profilbild von Nobody🇹🇿
Nobody🇹🇿vor 2 Jahren

Mlichowafanyia utopolo Mungu anawaona, Mkajadiliana jana usiku mkasema tuache watangaze kwanza, Mkakata clip mkaachia nusu kwanza🤣🤣

Profilbild von allyson sam
allyson samvor 2 Jahren

Simb iki nini 🤣🤣🤣 au ndo jini kabula🤣

Ähnliche Videos