ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐ #๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ 2023/24๐ฐ Tumewaacha Mbali Sanaaaaโฆโฆโฆ.. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
312,017 ๆฌก่ง็ โข 2 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
9 ๆก่ฏ่ฎบ

๏ฃฟ ๐๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ญ๐ฎ ๐๐โข2 ๅนดๅ
Creativity ya kutosha Jezi kali timu kalii kila kitu kikali pale jangwani Basii tumekalisha ๐๐ป๐๐

Presenter Noah2 ๅนดๅ
Mmewaacha mbali sana akina nani??

Suma viatu๐2 ๅนดๅ
UZI wa kijani unavalia number 1 Uzi wa njano unavalia number 2 UZI wa black unavalia number 3 Ushindwe wewe tu hapo

Zee la Vyeti (PhD)2 ๅนดๅ
Ipi kali zaidi?

The black officer2 ๅนดๅ
Hii ndio jezi sasa

Iam Salum Ally2 ๅนดๅ
Japokuwa mimi ni yanga Damu ila ukweli usemwe hizi jezi zetu ni mbaya sana bora za simba sports club Hii aibu wananchi wenzangu ๐ญ

Fumbo Khan2 ๅนดๅ
Mbaya

Adui Wa Yanga2 ๅนดๅ
Huu upupu ndio tulikua tunasubiria?

D E E ๐น๐ฟ2 ๅนดๅ
Kwanza napigaga retweet afu mambo mengine badae! safiii a good kit so far
