
Jebra Kambole
@Advocate_Jebra • 354,363 subscribers
Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032
Shorts
Videos

Wakuu Ijumaa ni sherehe unajua ni kwa nini? 1. Akionekana hana kesi ya kujibu tunaondoka naye 2. Nolle 3. Akionekana ana kesi ya kujibu tutapanga mashahidi na kwenye hiyo list tutaanza na samia na wengine watuambie yale maneno yaliitisha serikali? Labda HC ihairishe yenyewe😁
Jebra Kambole34,517 次观看 • 25 天前
0:40
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:25
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Tundu tushampa Nondo zote zinazotakiwa kesho pale mahakama ya Rufaa!! Kesho ni siku nyingine ya kiwanda cha elimu kutoka shule kuu ya sheria!! Tujiandae kupata burudani. Kesho ni mwendo wa kuweka vyuma tu, Sisi hatuchekeshi kwenye maswala yanayohusu uhai na haki za watu.
Jebra Kambole17,980 次观看 • 3 个月前

Hivi huyu anadhani dunia ya Sasa ni ya kuleta Siasa za kishamba za ukichagua upinzani wanaleta vita? Kwanza anaowaambia wanamshangaa! Watanzania sio wajinga! Siasa za ulaghai zishapitwa na wakati!!! Unashindwa kujenga hoja unaamua kuwapumbaza watanzania!! #NoReformNoElection
Jebra Kambole67,323 次观看 • 1 年前