Loading video...
Video Failed to Load
Mpe neno moja!!!
129,466 views • 3 years ago •via X (Twitter)
33 Comments

@NobelNelson Mjinga tu

Jb 😂😂😂

Huyu alikufuru kupita kupita kiasi alimwabudu kwa kumwona Magufuli (the late) kuwa zaidi ya Yesu na Mungu. Bado adhabu yake inamsubiri kama hajatubu sana sana. Amri ya kwanza ya Mungu imekataza kuabudu Miungu wengine lakini yeye katoka kauli ya kumdhakilisha Mungu. Anayo adhabu.

Huyu alitakuwa atolewe,kitambo sana walimlea,lea tu ila sasa kapata anachostahik

Huyu Muhuni ameteuliwa na Wahuni Wenzake kuwa ndiye Sheikh wa Wahuni wa Mkoa wa Dare es salaam. Muhuni huyu anajiita Sheikh wa Mkoa. Muhuni huyu anayeaminiwa na Wahuni ameritadi Kihuni zaidi ya maramoja. Anajiita Muislamu Kihuni na kuleta Mambo ya Kihuni. Huyu ni Murtad

Njaa mbaya saan

Ulamaa walikuwa wapi wakati jamaa anakufuru namna hii?

Hii ni aina nyengine ya uchawa

Kwa daraja hili nilimkubali JPM lakini Kwa ukali alizidi kiwango maana angekuwa hai TZ ingekuwa na Historia nyingine ya ubinadamu na haki

Mjinga mjinga huyo hata simpi neno.

Tupatie full video, not this short clip

Katafute

Nchi hii tulipitia mengi bana!!

Sasa tutaanza kwenda kwa dr mwaka. 😆kumbe dawa za asili zinafanya kazi

Namkaribisha kwa mrema, wanayo ya kuchoma na roasty.

Huyu yafaa amfuate huyo Mungu wake huko motoni

Simuamini yeyote ikiwamo mtoa post

Mungu hadhihakiwi!

Ile laana ya kumkufuru Mungu, haitomuacha salama

Pesa haijawahi shindwa dadeki 😅

@HecheJohn Adhabu yake ipo inamsubiri… Mungu ha share kamwe utukufu wake na mwanadamu

madaraka hayana adabu ,ukichanganyisha na pesa ndio unapata uwendawazimu kabisa

Shina ra mabaya ni kupenda pesa Muhuni mkubwa

Akome sheikh ubwabwa alizoea Kula ubwabwa wa kujipendekeza.

Mwenyezi Mungu amsamehe kiumbe wake duuuh!!

Hana akili huyu, si unaona hata macho yake

Allah ampe alichomuandalia......

Fedhuli mmoja

Hii ata bosi wake hakukubaliana nayo

Matapeli wa imani hawa

Wamekula kichwa

Jamaaa nyie mmeiona hiiii. Allahu llmustaan Allah atuongoze amuongoze nayeye Haya maneno haya ? Kwa nawaqidh islam ?

Falla sana
Related Videos
Sensitive content
Odlepršala je u nebo moja ljubav, moja plava golubica 💔
Boris Šavija
101,412 views • 2 months ago
