
Pope Mwita I
@EJ_Mwita • 7,216 subscribers
Human being.
Shorts
Videos

Mwaka 2013 Raisi JK alishauri serikali ya RWANDA 🇷🇼 kuzungumza na kutafuta usuluishi na serikali ya DRC kwenye kikao kilichohudhuriwa na Raisi wa Uganda,Rwanda na Tanzania na DRC. Baada ya kikao hicho kumalizika KAGAME akaondoka na alipofika kwao akasema maneno hayo 👇🏾👇🏾
Pope Mwita I114,052 görüntüleme • 1 yıl önce

Mwaka 2012, Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana na kunusurika Kifo katika kisa kinachofanana na kile cha SATIVA na hadi leo hakuna waliokamatwa wala kufikishwa mahakamani. Unless TISS ivunjwe na kusukwa upya, Watatunyoosha sana na linabaki kuwa swala la muda tu, jana ilikuwa yule kesho ni wewe/mimi. Ama tuache na kusubiri watufikie au tuwaondoe madarakani wanaowatuma na wanaofaidika na mfumo wao.
Pope Mwita I39,893 görüntüleme • 1 yıl önce

Wamekula pesa ya Tear-gas 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jaluo bila teargas sio maamdamano.
Pope Mwita I72,393 görüntüleme • 3 yıl önce

FAM alitumia karata ya, “Nilimlipia gharama za ndege kwenye kwenye utetezi wa watu. TAL: Muongo huyo, Tickets alizolipa ni za kwenda kushughulikia kesi ya CHACHA ZAKAYO WANGWE aliekuwa M/kiti wa CHADEMA- MARA. Wakati huo sikuwa hata mwanachadema na sikulipwa gharama za uwakili nilifanya BURE maana m/kiti alisema hana ela na mimi pia niliguswa na kesi ile hata kuamua kuishughulikia BURE. Muulizeni, kwanini hakuendelea kulipia gharama zangu za usafiri za kesi zingine nje ya kesi ya CHACHA ZAKAYO kwani baada ya kesi ile niliendelea kushughulikia kesi za wananchi wengine bila yeye kulipia gharama zangu usafiri kama alivyokuwa anafanya awali kwa CHACHA ZAKAYO.
Pope Mwita I39,341 görüntüleme • 1 yıl önce

Kama K/kor iko hivi maeneo mengine vipi? Bilioni 1.5 inatosha kujenga from scratch 1km ya barabara kwa kiwango cha rami, Watu hawa wametumia bilioni 371 kwenye matumizi yasio na tija huku hali za barabara zetu ni kama mnavyoona. Hii picha nilipiga mwenyewe juzi usiku saa 8.
Pope Mwita I23,896 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.