4 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Afropatriot255
Nakumbuka wanamtandao walimuwekea mtoto wake madawa kwenye begi alikua na safari ya China ,Mungu akasaidia watu wema wakamtonya mzee akawahi kugundua kabla hajasafiri ,Mzee alipitia tabu sana kuwachallenge mafisadi na majizi ya nchi hii,Mungu ampumzishe hatukumuelewa
6 likes

@Kifodo
@Jambotv_ tunaomba uwakumbushe wananchi.
2 likes

@IWesry45969
Aisee
1 like

@ZenjiboyZnz
Fake news
