Hilda Newton's banner
Hilda Newton's profile picture

Hilda Newton

@HildaNewton21957,482 subscribers

Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045

Shorts

Leo asubuhi Makam Mhe. @hechejohn akifanya jogging na Vijana wa Chama. Ila hii nyimbo anaimba Advocate ,,sailence Mwakasala na wenzake ni 🔥🔥🔥

39,735 просмотров

‘Gaidi’ Mnyawami akiteta jambo la Wakili wake Peter Kibatala.

30,615 просмотров

Jana Nduli Idd Amin mama alitegesha, apige simu awasalmie millennials akaishia kuzomewa 😂😂

44,066 просмотров

Jana wakati mjadala unaendelea kwenye #MariaSpaces David Nkindikwa alisikika akiongea kwa taharuki kwamba “Kuna watu wananisikiliza” baada ya hapo akapotea hewa. Kwa akili za kawaida huu muda aliopiga kelele kwenye Space ndo muda ambao alichukuliwa na hao watu ambao mpaka sasa hatujui ni akina nani? #FreeDavidNkindika

53,816 просмотров

‼️ALERT ‼️ Huyu kwenye hii clip ni Sheikh Ubwabwa, Mwaipopo akiwa kituo cha Polisi Shauri Moyo Nairobi hii ilikuwa Mwaka 2022 Mwaipopo alipowaomba pesa Watanzania (Waislam) ambao wanaishi Oman aliwambia anaomba pesa kwa ajili ya kulipa Mawakili na kuhonga Polisi wa Kenya ili wamwachie huru, sasa alipoona ni kama watu wa Oman wamemshtukia ikabidi arekodi hii video na kuwatumia Watanzania walioko Oman ili wamuamini. Hapa alikuwa bado hajajua kama wenzake washajua kwamba kesi yake sio ya Ugaidi na yeye alikuwa amekomaa kusema anatuhumiwa kujihusisha na Ugaidi kwasababu ya dini, wakati ukweli ni kwamba ilikuwa ni kesi ya utapeli wa fedha na wenzake walikuwa shajua.😂😂😂😂 Mwisho wa siku alivoona watu wote wamempotezea ilibidi atafute njia alirudishe pesa zote alizotapeli watu ndo akaachiwa. Imagine huyu Tapeli ndo Nduli Idd Amin Mama anamtumia kutukana, kutisha na kushambulia wakosoaji wake.🚮

52,830 просмотров

Leo nilikuwa napita zangu mitaa ya Gaza- Kimara hiki ndo nilichoshuhudia. Wajeshi wa JWTZ wamemwaga ili kutisha wananchi hii ni baada ya kuona Maandamano ya 7/7 yameshika kasi kila kona ya nchi. Nduli Idd Amin Mama na genge lake wamepanic sana. #77Tunatoka #7UP

42,262 просмотров

Wabunge haram wakiongozwa na ester amos bulaya wanasema kwamba Serikali ya Marekani imewahukumu maccm bila kuwapa nafasi ya kujitetea. Sasa wao kabla hawajawapiga risasi na kuwauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi waliwapa nafasi ya kujitetea.?

Sensitive content

42,304 просмотров

Nduli Idd Amin Mama akiona hili tabasamu anaumia sana.

39,908 просмотров

Kumbe yale makofi ya jana yamewauma sana naona leo Mwigulu katoa mlio.😂😂😂

63,746 просмотров

HAKUNA ALIYESALAMA Anaandika Mdau kutoka Geita👇👇👇 Hapa ni Ililika-Nyarugusu Geita imetokea RUSH Mpya ya Uchimbaji wa Madini. Kama kawaida wakajitokeza watu wengi kwa ajili ya usimamizi na Moja ya kundi lililojitokeza ni UVINYA Umoja wa Vijana Nyarugusu, Hili ni kundi kubwa la vijana hapa Mgodini ambalo lina watu wengi wenye uzoefu mkubwa wa uchimbaji na wengine wakiwa wajasiliamali na wafanya biashara wadogo wadogo. Walifika kwa ajili ya kuomba tenda ya kusimamia rush, na wakaja na vifaa vya kujenga nyumba ya muda(temporary residence) walikua na vifaa kama mbao nk. Sasa alitokea mtu mwenye bunduki na kuaza kuamuru vifaa hivyo viondoshwe haraka sana! Mzozo ukawa mkubwa bwana huyu alishika bunduki akaanza kutumia kitako cha bunduki kumpiga huyu kiongozi wa UVINYA! Huyu kiongozi wa UVINYA ni mwanaccm tena mjumbe katika serikali ya Kijiji hiki, in short ni wale ccm kihere here. Huyu kada wa CCM ameumizwa sana na askari huyu ambae alikua akisema kwamba yeye anamaelekezo kutoka juu ni Askari mwenye rasta na mwenye muonekano ambao si wa kiaskari, Mashuhuda kadhaa wa matukio ya Oktoba 29 wanasema kwamba huyu Askari ni miongoni mwa Askari waliokua wakimimina risasi kwa raia mjini katoro siku ya Oktoba 29, 30,31 na Nivemba 1 Haya hivyo huyo Kada wa CCM pamoja na kipigo chote icho waliondoka nae na sasa anashikiliwa kituo cha Polisi, Wamemnyima hata huduma ya kwanza licha ya kwamba anajereha kubwa kichwani.

70,350 просмотров

Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia Mwananchi kwa marungu na mateke.😭

106,154 просмотров

Hii video mpya ya Oktoba 29, Wananchi wanasikika wakisema Serikali inavunja Katiba. Halafu Nduli Idd Amin Mama anasema waliondamana walikuwa hawajui kwanini wameandamana kwamba hawakuwa na sababu walifuata mkumbo.🚮🚮

39,074 просмотров

Limama liuaji halina hata aibu. 🚮 🚮 🚮

Limama liuaji halina hata aibu. 🚮 🚮 🚮

50,291 просмотров

Tumerudi Mahakamani, Mhe. Lissu anasema kuanzia leo atabaki jela kwa sababu ya uchaguzi tu ila kesi imeshaisha, Mhe. Lissu anashangiliwa sana hapa.

59,779 просмотров

Watu wa Mbeya wakienda kumzika mwenzao ambae aliuwawa kwa risasi na Vikosi vya Nduli Idd Amin Mama.

54,505 просмотров

Juzi alianguka Mlinzi wa Idd Amin Mama leo gari yao imekula mzinga. Tuzidishe maombi!

63,179 просмотров

Hawa ni vijana wa Mbezi beach Goig. Walipigwa watatu mmoja ya kichwa amekufa walimzika Alhamisi tarehe 30.10.2025 Huyu alielala kapigwa ya kiuno ni Niko na huyo aliepigwa ya kifua ni Dulla. Vijana zaidi ya 20 wamekufa hapo! ila vijana wana mwamko kuliko Oktoba. Haya ndo matokeo ya kuwa na mtu aliyepewa uongozi bila kuelewa watu anaowaongoza. Halafu Idd Amin Mama alisema hawa ni raia kutoka nchi jirani. Kiukweli hatuwezi kukubali damu za ndugu zetu zipotee bure, tutapambana mpaka Haki ipatikane. #D9 #SamiaMustGo #TanzaniaIsBleeding

53,527 просмотров

Nimejaribu kumsikiliza Bi harusi lakin nimeshindwa kuelewa alikuwa anamaanisha nini.🤧

99,518 просмотров

Tuko hapa magomeni mapipa tunasubiri watu waongezeke tukiamshe!…

99,560 просмотров

Videos

HildaNewton21's profile picture

Mhe. Lissu anasema amewamiss sana Watanzania

Hilda Newton

18,465 просмотров • 19 часов назад

HildaNewton21's profile picture

“Nchimbi hajulikani alipo…”-; Jaji Warioba 🥹

Hilda Newton

76,883 просмотров • 5 дней назад

HildaNewton21's profile picture

Hii nchi ina matapeli wengi sana🚮🚮🚮🚮

Hilda Newton

49,166 просмотров • 11 дней назад

HildaNewton21's profile picture

Huyu ni mtoto wa nan, Wazazi wake wapewe pongezi.🙌

Hilda Newton

51,674 просмотров • 14 дней назад