Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Hii nchi ina matapeli wengi sana🚮🚮🚮🚮
49,810 görüntüleme • 1 ay önce •via X (Twitter)
33 Yorum

Imagine alimzunguka KATIU MKUU Mhe MNYIKA akaunda genge Lake la kina mwalimu na kigaila wakachukua muhuri wakawapitisha wale COVID 19 bungeni kinyemela what a shame 😄😄😄

Huyu anatakiwa atolewe kwenye magroup yote ya kamati kuu ya chama. @BrendaRupia Please do it and act immediately urgently.

Huyu anatakiwa afukuzwe uanachama maana atakua anapeleka siri za chama CCM

Mjumbe wa kamati kuu ameenda kukiwakilisha chama?

Chama gani??? Huyu ni dalali

Narudia kusema siasa ni uquma 😭😭😭😭 mbowe my great mentor kawa doto magari😭 Na lissu×Heche siku wakifanya huu uquma nahamia Somalia. Mbowe matako yako🚮🚮🚮

Huyu ndio mwenyekiti wa Chauma sasa yule Mzee Rungwe ni kivuli tu, na hapo anaiwakilisha Chauma

COVID-19 na PAYMASTER general wake, kwa nini tuwachekee WASALITI kwa MAISHA na DAMU za ndugu zetu..😫😡

@Kadogo551 Hawa watatu @freemanmbowetz @zittokabwe @othmasoud product ya mfumo, wamechelewesha sana Taifa kwa mbinu zao za kificho. Ila Mungu hamfichi mnafiki🙆♂️

ALANIWE daima, ameshiriki KUVIZA siasa za UKOMBOZI kwa miaka 20. Maisha yake yana HATIA za damu nyingi za WATANGANYIKA kabla na baada ya MO29.

wasalatii walifugwa na wanaendelea kufugwa CDM

Mbwe ame disappoint sana Jamii ya Taifa hili heshima yake aliyoijenga kwenye siasa ameifuta Mwenyewe yote yaliyosemwa juu yake kuhusu kununulika yanapata ukweli sasa kwa mazingira ya siasa zilizopo atapewa uteuzi kwenye Tume ya Maridhiano kwa Masilahi yao

Utapeli mtupu huu ni mkutano waatapeli hapo hamna hata megawatt 500

Huyu jamaa ni mtu wao na wala si vinginevyo

Daaaaaaaah,inaumaaa saaana lakn ndio ashachagua kudhalilika siku zijazo

MLEVI MMOJA MWENYE GENGE LA MATAPELI

He should be removed from CDM central committee ASAP, at the discretion of CC of the party.

Uso umepauuuka kama wa maiti madhara ya ARV ni changamoto sana pole @freemanmbowetz kumaaaaamae

Huyu Mzee mpk anatia kinyaa na hana aibu usoni...aisee msaliti ni msaliti tu, nakumbuka kipindi kile anaongea kwenye mikutano jasho linamtoka kumbe muigizaji tu.

Unajitahidi unaamini mtu kumbe ni tapeli😢

Huyu mzee mnafiki sanaaa

So this TRAITOR is again seen kwenye mambo ya ccm!!..Mambo ya cdm haonekani kabisa tangu ashindwe uchaguzi!.. AFUTWE ujumbe wake wa kudumu wa Kamati Kuu ya CDM eti kisa alikuwa mwrnyekiti. ANAUDHI SANA.

Kweli nimeamini,Bamia huwa inaharibikia ukubwani

Alafu kama hamjashtuka ni kwamba huyu mzee kaja kupoteza ule upepo wa jana yan nayeye kaingia katika kufanya propaganda yan bila soni kajitokeza leo na hajaongelea lolote kuhusiana na mwenyekiti walahi tumechezewa muda mrefu sana ila yanamwisho haya

@RehemaNM2 Huyo Mzee anatakiwa fukuzwa CHADEMA watu watakuja shtuka too late, ma group yote ya WhatsApp atolewe.

@lifeofmshaba Mzee anaona haya anajiinamia tu sura imemshuka utafiriki na yeye yupo ukonga! Pesa za laana hizi hata hazimng’arishi mweh! Yaani hana uchangamfu na hana ujasiri hata wa kutizama caméra 🤣🤣🤔🙄

@Whisperpicx Na hayo makengeza huyu kibaka utafikiri ni mtu wa maana kumbe ni mchumia tumbo tapeli na chawa wa muuaji

Anayesifia huu umeme wa 'Tembo Mweupe' atuambie kwanza bei ya umeme imepungua japo senti ngapi kwa Watanganyika, na pili atuambie imekuwaje Zanzbar wasamehewe deni lote la umeme unaozalishwa Tanganyika..

Con artist 😁

Macho yake sasa

Nawasikitikia bensanane soka mdunde na vijana wote waliopotea kwa utata inshaa, allah m/mungu awasamehen dhambi zenu

Mzee wetu sasa ni CCM rasmi.

Hilda hivi ni mimi peke yangu nimegundus huyu Tapeli amelewa au na ninyi pia.
Benzer Videolar
Sensitive content
Hii jinsia 🚮
SIR TIVA
82,797 görüntüleme • 1 yıl önce
