
Joel Msuya
@JoelyMsuya • 11,806 subscribers
Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Activist & Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055
Videos

“Mnasema mpo kwenye mapendano, huyu mama ni mzuri huku anaua watoto wenu. #DeusSoka yupo wapi mpaka leo?” Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Tundu Antiphas Lissu akizungumza kwenye hafla fupi kwaajili ya kumpongeza kwa ushindi iliyoandaliwa na vijana.
Joel Msuya65,713 görüntüleme • 1 yıl önce

WARAKA WA KKKT IBADA YA IJUMAA KUU KITAIFA:- Sikiliza waraka wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) leo ktk ibada ya ijumaa kuu. Waraka ambao umesomwa na Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Dayosisi ya Morogoro. “Wanaoteka watu watalipia” “Watawala wakubali kukosolewa”
Joel Msuya21,404 görüntüleme • 1 yıl önce

Mimi ni mwanageuzi wa miaka yote, mwanaharakati wa miaka yote. Kwahio hilo wazo, wazo tu kwamba naweza nikaenda CCM halipo, hawa hawa hawa madalali hawa” 😂 Mtia nia wa nafasi ya Uraisi wa JMT 2025 kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Antiphas Lissu akihojiwa na Edwin Odemba Star Tv hii leo.
Joel Msuya26,140 görüntüleme • 2 yıl önce

“Wenzetu wa CHADEMA wanasema #NoReformsNoElection wapo hata baadhi ya wana CCM nao wanasema #NoReformsNoElection lakini wamejificha hawataki waonekane” Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Dayosisi ya Morogoro akisoma WARAKA wa KKKT leo katika ibada ya IJUMAA KUU kitaifa.
Joel Msuya11,617 görüntüleme • 1 yıl önce