
Kumbusho Dawson Kagine
@KumbushoDawson • 196,092 subscribers
Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.
Shorts
Videos

Unajua nacheka kwa nini? Hii ni maajabu!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbusho Dawson Kagine56,643 görüntüleme • 1 ay önce

Huyu siyo kwamba ni Kibaka au mwizi (panya road)....Hapana. Huyu Mwenezi wa BAVICHA Taifa Felius Festo , ni Mtanzania mwenzetu. Kosa lake kuhudhuria kesi ya Uhaini inayo Mkabili Tundu Lissu. Polisi wetu walikuwa Wanapiga kama wanaua nyoka! Hii ilikuwa mwezi April mwaka 2025.
Kumbusho Dawson Kagine41,505 görüntüleme • 1 ay önce

"It is unprofessional to publish bad test image"-Gerson Msigwa.
Kumbusho Dawson Kagine82,270 görüntüleme • 9 ay önce

Kumbusho Dawson and BongZozo became friends right now on Facebook.
Kumbusho Dawson Kagine71,898 görüntüleme • 9 ay önce

Mnamkwaza Charlie Chaplin, atawajibu tena kesho!
Kumbusho Dawson Kagine43,900 görüntüleme • 5 ay önce

Mnajitoaga akili wakati mwingine ng'ombe nyie. Leo akili zimewewarudia..
Kumbusho Dawson Kagine15,046 görüntüleme • 1 ay önce

Watanzania walipoteza ndugu zao, wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025. Milli yao hadi leo haijulikani ilipo, kuna wengine waliamua kuzika nguo zao. Bashe anajisifu kumzika ng'ombe wake kama binadamu na kwa heshima kubwa. Anasema Watanzania wanaweza kumuona kama CHIZI.
Kumbusho Dawson Kagine33,216 görüntüleme • 6 ay önce

Jamani naomba kuuliza huyu ni nani? Si Kwa ubaya lakini! Au Ndiyo mwenye hati miliki ya nchi hii?
Kumbusho Dawson Kagine63,836 görüntüleme • 1 yıl önce

Gen Z hawataki "UPUUSI".....Gen Z wamenyooka kama rula.
Kumbusho Dawson Kagine36,514 görüntüleme • 9 ay önce