正在加载视频...

视频加载失败

Kwani Watanzania tulimkosea nini Mungu wetu?

97,199 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Cogito, ergo Sum 的头像
Cogito, ergo Sum1 年前

Morogoro huwa Kuna wajinga wengi nadhani ukifuatia Pwani na Zanzibar, Tanga

@mtanganyika 的头像
@mtanganyika1 年前

MUNGU alishamaliza kazi yake! Tusimuhusishe kwenye ujinga,unafiki,uchawi,mauaji,utekaji mateso na roho mbaya zetu. Mabaya yote na ujinga wote tumeuchagua wenyewe! Wazungu,wajapani,uchina wote wameendelea kwasababu wamechagua kuendelea! Sisi tumechagua ujinga hakuna huruma

No Reforms. No Elections 的头像
No Reforms. No Elections1 年前

Dah!!😭😭😭😭..hìi Nchi ya kisenge sana hivi mwisho utakuwaje maana nahisi kutoa mtu roho kama siyo kufa mimi mamaee..

Eng Kevin 的头像
Eng Kevin1 年前

Yani tangu bunge lianzishwe huyu ndo mbunge kilaza kuliko wote @BabuTale

Chelsea_the_blues 的头像
Chelsea_the_blues1 年前

Wala sio mungu, ni sisi tu na upumbavu wetu, utashangaa huyo atapita novemba

Professor 的头像
Professor1 年前

Jambo la kwanza NJAAA Jambo la pili NJAA Jambo la tatu UMASIKINI Jambo la nne UMASIKINI Jambo la tano ELIMU

MARTIN MARTIAL 的头像
MARTIN MARTIAL1 年前

Huu upumbavu unafugwa na watu wa ccm,hata kama wanaiba kura basi walete watu wa maana,hii ni aibu hakina mtu anashindwa kununua kanga na kofia

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

Hamza Mbasha 的头像
Hamza Mbasha1 年前

Kama bado watu wanapewa kanga tuna safari ndefu sana kama nchi tena ndefu sana uwezi kufanya huu ujinga kwenye sehemu zinazoeleweka.

GeN z Tz 🇹🇿 的头像
GeN z Tz 🇹🇿1 年前

😂😂😂😂 huyu si mbunge wa vitu maalumu na ni la saba kuna kipi atakua labda kwenye siasa sema wananchi ni vilaza kama yeye ndio maana wanpokea tu bila kuuliza ni vya nini wapeleke wap !!

Nyando_Mwaliwaya🇰🇪🦁 的头像
Nyando_Mwaliwaya🇰🇪🦁1 年前

CCM wanahuruma sana na Wananchi , Hakuna Taifa ambalo mbunge anaweza gawa khanga! Nyeeeeeeeeeeeee👏

相关视频