
Kumbusho Dawson Kagine
@KumbushoDawson • 196,092 subscribers
Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.
Shorts
Videos

Huyu siyo kwamba ni Kibaka au mwizi (panya road)....Hapana. Huyu Mwenezi wa BAVICHA Taifa Felius Festo , ni Mtanzania mwenzetu. Kosa lake kuhudhuria kesi ya Uhaini inayo Mkabili Tundu Lissu. Polisi wetu walikuwa Wanapiga kama wanaua nyoka! Hii ilikuwa mwezi April mwaka 2025.
Kumbusho Dawson Kagine41,505 次观看 • 1 个月前

Watanzania walipoteza ndugu zao, wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025. Milli yao hadi leo haijulikani ilipo, kuna wengine waliamua kuzika nguo zao. Bashe anajisifu kumzika ng'ombe wake kama binadamu na kwa heshima kubwa. Anasema Watanzania wanaweza kumuona kama CHIZI.
Kumbusho Dawson Kagine33,216 次观看 • 6 个月前