
Maria Sarungi Tsehai
@MariaSTsehai • 1,375,822 subscribers
Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Shorts
Videos

Msikilize kwa umakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche Mnaojaribu kusema chama imekuwa ya wanaharakati kasema poa tu ila ameeleza wazi hata mtoto mdogo anamwelewa kwa nini hakuna mazungumzo (siyo maridhiano) ya aina yoyote watakayokubali kwa mazingira ya sasa - msimamo bora ambao ndo tunataka wananchi! Akili kubwa and very eloquent 🙌🏽 I am so proud of Heche! He is focused and articulate! Leaves no room for doubt hakuna konakona Stay the course ✊🏽 soon #TutaelewanaTu #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai141,842 görüntüleme • 10 gün önce

Taarifa iliyotufikia ni kuwa Polepole yupo mateka kwenye ghorofa la Abdul lililopo Ukonga - inabidi kujipanga vizuri kuwakomboa mateka! Kumbukeni aliwahi kumlipua Abdul na genge lake In this video Humphrey Polepole who has been missing since his violent abduction was revealing that Abdul Halim - Samia’s son- was keeping trolls in his compound in Masaki Today we received information that Polepole has been transferred and kept incommunicado in Abdul’s compund in Ukonga Abdul is a menace, #FreePolepole
Maria Sarungi Tsehai181,920 görüntüleme • 23 gün önce

‼️LEO LISSU KAONGEA JAMBO MUHIMU‼️ Kuna hadi baadhi ya wanachadema walianza hii kampeni ya eti “Heche anazuia Lissu asitolewe” Sasa mmejibiwa na Lissu - hamuoni aibu? Mi hata kama tuliwahi kuwa marafiki ila ukishaongea huu upuuzi wa Lumumba eti Heche ndo anachelewesha Lissu kuachiwa - nakuwekea mashaka! Sorry! Leo Lissu kasema mnaosema hivi mmepokea pesa za Lumumba! Haya! Eniwei #FreeTunduLissu #FreeTunduLissuNow
Maria Sarungi Tsehai188,520 görüntüleme • 26 gün önce

‼️🚨JOHN HECHE IN SHINYANGA PROVES STRONG GRASSROOTS SUPPORT FOR CHANGE‼️ John Heche the Deputy Chair of Chadema is in Shinyanga for public meetings. His reception and the inpromptu fundraiser drive that followed is testimony to the wider population support for Change. Why? Because Heche and Tundu Lissu are seen as leaders seeking real change not political deals even if it comes with a high cost! Heche is the target of smear campaigns trying to discredit him and drive a wedge between him and the public but all attempts have failed! He remains highly popular and trusted by the people and by Tundu Lissu Tanzanians, in particular Tanganyikans are ready for REAL CHANGE Hawa wananchi wa Shinyanga - wengi si wanachama wa Chadema wala si wanaharakati ila wanamkubali sana Heche! Si bahati mbaya - Lissu na Heche machoni kwetu wengi ni viongozi wanaoaminika na wameamua kusimama kwenye misingi na si wapiga dili! Na wanalipa gharama kusimama ktk misingi! Hii imani msichukulie poa brother John Heche - we puuza wajinga wanaotaka kukuchafua na kukukatisha tamaa - peleka motooo 🔥🔥 #FreeTunduLissuNOW #KatibaMpya
Maria Sarungi Tsehai45,012 görüntüleme • 6 gün önce

Remembering the victims of #MO29 # Tanzania These are some of the identified victims killed by bullets of security forces on the orders of Samia Suluhu Stand up for them CMAG today at your extraordinary meeting #JusticeForMO29 Antigua & Barbuda Foreign Affairs MIRBW Anita Anand Foreign Policy CAN Ministry of Foreign Affairs Grenada 🇬🇩 Wisma Putra Ministry for Foreign and European Affairs Chris Fearne Dhananjay Ritish Ramful Government of Samoa Zambia Foreign Ministry Shirley Botchwey The Commonwealth
Maria Sarungi Tsehai53,103 görüntüleme • 9 gün önce

The government unilateraly has demolished and removed small scale traders in Tandika Dar es Salaam This morning the oppressors woke up to this protest march! Samia Suluhu is destroying the livelihoods of poor Tanganyikans deliberately but this is like playing with fire For as Rousseau said, “When the poor have nothing more to eat, they will eat thr rich” Mwanafalsafa Rousseau alisema, “Siku maskini hawana tena cha kula, watawala matajiri” Shida kimama cha Kizimkazi haelewi na hajawahi hata kujua maana ya falsafa! Ila hata kwa akili ya kawaida unafukuza watu unataka wale wapi? Wafanyabiashara wa soko la Tandika msikubali kunyanyaswa hivi! Wanawaita “uchafu” - kweli?? Hawa wauaji hawana mipaka! Haya #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai37,768 görüntüleme • 6 gün önce

👇🏾‼️YOUTH TRAINED BY STATE TO KILL AND TORTURE DISSENTERS‼️ #Tanzania These young people have been undergoing National Service training and brazenly brag beating, gouging eyes of anyone who will protest! This is what Samia Suluhu government is training security forces for That is why CMAG cannot afford to drop Tanzania from its agenda and needs to push for genuine change Keep eyes on Tanzania and hold the illegitimate government to account Antigua & Barbuda Foreign Affairs MIRBW Anita Anand Foreign Policy CAN Ministry of Foreign Affairs Grenada 🇬🇩 Wisma Putra Ministry for Foreign and European Affairs Chris Fearne Dhananjay Ritish Ramful Government of Samoa Zambia Foreign Ministry Shirley Botchwey The Commonwealth
Maria Sarungi Tsehai55,254 görüntüleme • 11 gün önce

‼️MUHIMU ZINGATIENI‼️ Mara baada ya kushinda uchaguzi wa uenyekiti, Lissu aliwaasa wanachadema kuwa HATAKI UCHAWA Angekuwa online tungepasuana live si ajabu maana anapenda sana debates 😁 Alafu maisha yanaendelea Mi mwenyewe nimeshabishana naye mara kadhaa - na nikielekea kukubaliana naye anauliza why sasa nakubaliana naye! Anachukia uchawa! Na ana uwezo wa kujitetea ktk debate! Hahitaji uchawa au huruma! So mnaohisi mnaonyesha uchawa na mtapaishwa msishangae mkija kushushuliwa 😁 Msikilizeni hapa vizuri! Siasa za “Mwamba tuvushe” zime expire 😁 Na machawa kuja kutubeza kuwa eti “wanaharakati” imebuma wakati Tundu Lissu anajivunia kuwa mwanaharakati na bado anajitambulisha hivyo #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai69,828 görüntüleme • 16 gün önce

Tuhakikishe hata kama wataamua kuendelea kumtesa Tundu Lissu ajue umma wa Tanzania uko nyuma yake! 🔥👊🏽 Mungu awabariki sana wote mliofika leo mahakamani na kumpa maua yake Tundu Lissu ❤️ Mmetuwakilisha vyema and I am so proud of us! Tuna deal na kundi la wakora 🚮 wauaji, wafiraji, watesaji mfyuu! But we stand strong na Lissu anatuonyesha njia Tumpambanie hadi awe huru! Ye ni mshindi tayari! Tuache kujitilisha huruma au kujinyongonyeza! Tuendelee na moto huu huu! Mwisho wao umekaribia! Yes We Can 🙌🏽 #FreeTunduLissuNOW
Maria Sarungi Tsehai25,253 görüntüleme • 5 gün önce

‼️ #EnforcedDisappearances #Tanzania ‼️ This is Junior Jonathan a student at IMF. Ge was abducted by armed men August 27, 2026 at Bagamoyo Coast region and his abduction was filmed by residents. He has not been seen since! His “crime” was reportedly to break up with his girlfriend Ruiya who happened to be the daughter of Gwandise Jumanne Kelegele, a Security officer whose work station is State House - Dar es Salaam. Ruiya openly threatened Junior that “If you leave me, you will know who my father is in this country” Following his abduction as seen on the video, Junior is not booked at any police station! Clearly he is being held at a torture black site like hundreds of others! Junior's mother took the initiative to call Ruiya to find out where her son was taken, Ruiya said that the matter was in the hands of his parents and she was told not to say anything. Junior's family traveled to Mbweni, Dar es Salaam to Ruiya's home, they knelt down to Ruiya's father and apologized that if there was a mistake their son had done, they asked him to forgive them and let their son go, but Ruiya's father, Gwandise, did not cooperate at all. Gwandise appears to be wealthy too as he had applied to build a fueling a station in Mwanza in 2022 and he is also said to be a close friend of Tanzanian ambassador to the US Elsie Kanza! This is a man who seems to be linked to Death Squads and part of the gang responsible for the massacre last year while working at the State House taking orders from Samia Suluhu! The police are complicit and of no help! We need Kanza and the State House to immediately tell Gwandise to release this young man Tanzania is a LAWLESS country! #FreeJuniorJonathan Cc UN Working Group on Enforced Disappearances UN Human Rights Council Foreign, Commonwealth & Development Office Africa Regional Services Department of State Senate Foreign Relations Committee Chairman Senate Foreign Relations Committee The Commonwealth Huyu baba yake Ruiya aliyehusika kumteka Junior Jonathan anaitwa Gwandise Jumanne Kelegele na ktk fukunyua yangu nimekuta ana kibali cha kujenga kituo cha mafuta Kiwanja Na.602, Kitalu "H", Eneo la Luchelele, Manispaa ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza! So ni tajiri kabisa pamoja na kuwa afisa wa TISS! Anatoa wapi utajiri huu? Kibaya zaidi ni mtumishi wa umma! Jambo ningine muhimu sasa tumethibitisha kuwa kumbe watekaji wanatoka Ikulu! Na watoto wao wameshindwa kuficha siri - wanatumia vyeo vya baba zao kudhuru na kutisha watoto wa maskini! Hii kesi imewakalia vibaya, mngekuwa na akili mngeshamwachia Junior zamani - sasa ni hivi mwachieni Junior mara moja maana kitawaramba! #FreeJuniorJonathan
Maria Sarungi Tsehai51,108 görüntüleme • 19 gün önce

Huyu mzee amenifanya nimetokwa na machozi! Sometimes the voice of courage comes from a frail old man who has the heart of a lion! Huyu mzee anatuhimiza SOTE si John Heche - tupiganie nchi! Alafu kuna midume yenye vitambi na matako makubwa kuliko sisi wanawake wanawaza kuua na kuteka ndo wanaona ushujaa! Tukishajikomboa hii mianaume tutashughulika nao na watawajibika! Na huyo kijana anayebwia unga na kutoa amri kama vile nchi ya mamaake ndo kabisaaa! Mzee huyu Mungu amtunze aje kuona Ukombozi wa Pili wa Taifa 🙏🏽 Sisi tupambane jamani hakuna kurudi nyuma - tumeshashinda sema mafedhuli wamekaza fuvu #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai110,772 görüntüleme • 1 ay önce

Msikilizeni Bi Kizimkazi kwa makini Anaongea na wazanzibari wenzake Wameamua wao wanashikamana kulinda nchi yao na wanatunyuka kwao mwaka 2025 hakuna aliyenyukuliwa maana waliambizana waje kuua watanganyika! Mpo? Sisi watanganyika ndo tuna wapumbavu wanaomsaidia huyu mwuaji kututeka na kutuua! Kabudi shame on you na wenzako wote! 🚮🚮 Traitors! Amkeni watanganyika - tuidai Tanganyika na #KatibaMpya ya serikali tatu! She says what she means and she means what she says! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai79,570 görüntüleme • 1 ay önce

Mimi mwanaharakati najivunia pia! Tundu Lissu ni mwanaharakati aliyeamua kuingia kwenye siasa kuendeleza harakati kama Nyerere na Mandela Mtu akikwambia ye ni professional mwanasiasa hana kazi nyingine wala hana harakati, huyo ni mjasiriamali wa kisiasa! Mpooo!? #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai27,438 görüntüleme • 15 gün önce

‼️ICYMI‼️ Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 has raised alert and this is also something I have repeatedly said before Samia Suluhu is planning and discussing plans to “get rid” of deputy chair John Heche which means even assasination if need be! Let this be on record again and again! When the attack in any form happens - do not say it was unexpected! FYI - The person carrying out the attacks on Heche is Abdul Halim Hafidh Ameir - Samia’s son and his henchmen The Commonwealth Senate Foreign Relations Committee Senate Foreign Relations Committee Chairman World Bank Africa IMF Africa Foreign, Commonwealth & Development Office Int'l Criminal Court Mkifikiri haya ni maneno tu basi kuna siku mtaelewa! Hili suala nimelisema sana na wapo watu ndani ya Chadema wakasema Heche eti anatafuta sifa si kweli! Leo dereva wa Heche aliuwawa Kigoma na anaendelea kuwindwa - wako kimya! Ila ni jambo la kweli na hatari yanayoendelea kwa sasa na Heche alindwe sana! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai60,180 görüntüleme • 1 ay önce

‼️🚨#Tanzania #EnforcedDisappearances ‼️ Last week this commuter motorcyle driver (bodaboda) was abducted and found dead with his eyes gauged out! Another victim of extreme torture and brutal murder This is life under Samia Suluhu the Butcher! Almost uniquely they are all young men from Tanganyika! See the pattern? Vijana wadogo wa Tanganyika wanatekwa , wanateswa na kuuwawa kinyama alafu kuna midume inapigia magoti huyu kimama kiuaji #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai24,917 görüntüleme • 14 gün önce

✊🏽 Tundu Lissu the Champ! Today the prosecution in #Tanzania rests its case - despite promising a plethora of witnesses and on Friday claiming that their 18th witness had an emergency, this morning they declared that they have no other witnesses! This has always been a fake trial with fake witnesses, dragging it out to keep Lissu illegally behind bars! Had there been any decency in the prosecution they would have dropped these charges long time ago instead of embarrassing themselves! #FreeTunduLissuNow Wamekata pumzi kweli! Lissu atabaki shujaa wa Tanzania! Mibaba mizima haioni aibu!? Leo upande wa serikali wamefunga ushahidi - wanajua hawana kesi! Mnaendeshwa na akili za Kizimkazi form four failures! Kweli? Sasa acheni upumbavu and #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai60,874 görüntüleme • 1 ay önce