
Maria Sarungi Tsehai
@MariaSTsehai • 1,373,327 subscribers
Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Shorts
Videos

‼️🚨TRAVEL ALERT #Tanzania ✈️ Do NOT travel to Tanzania! Since the government has decided to announce that there are hundreds of terrorists - it is prudent to STAY AWAY Ndo nasema hawawezi kutangaza kuwa kuna magaidi alafu nchi ikawa tourist destination salama! Acha twende hivi! #TanzanaIsNOTSafe
Maria Sarungi Tsehai36,062 次观看 • 3 天前
1:25
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Huyu ni mgambo anafurahia jana na wenzake posho waliyolipwa ya kuumiza wananchi kuzuia maandamano halali ya 7/7 Anatutishia eti mjichanganye! Inaiskitisha ukiona na kujua hawa ni wenye uwezo wa chini wanapanga kuumiza watu wanaopigania future bora ya kwao na vizazi vyao wote Ameweka record mbaya kwa familia yake! Eniwei #77Tunatoka #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai60,257 次观看 • 27 天前

Cc Int'l Criminal Court This goon Clemence Mwandambo is a man who got fame for appearing to back peaceful protests in October 2025 and later the family claimed he was abducted. Since his release, he has changed and now is openly threatening with gun and violence peaceful protestors on 7/7 He is now a proxy of Abdul Ameir - and they are planning a new massacre! Kindly note and keep him on record for further action during the trial! Cc Senate Foreign Relations Committee Chairman Senate Foreign Relations Committee U.S. Senior Advisor for Arab and African Affairs Assistant Secretary Riley Barnes UN Human Rights Council World Bank Africa IMF Africa Kama ni upumbavu basi ni hii! Mwandambo ameji-incriminate na atakuja kuwa shahidi au mshtakiwa! Asifikiri ni sifa kutisha watu na bastola ya Abduli?! Tunajua ametumwa na Abduli kuleta gumzo - he is just pathetic! Kesho yakimpata asilalamike eti alilazimishwa - kajitakia mwenyewe Acheni vitisho 🚮 mnatia watu hasira - mnafikiri ninyi mtaishi milele! Tusiogope wapendwa! Tumeshashinda hawa wamepagawa #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai98,430 次观看 • 1 个月前

Sikilizeni ujumbe mzito kwa POLISI WOTE kutoka mtoto wa OCD mstaafu Willy Mwakilatu Ameongea mambo ya uhalisia kabisa na huwa tunawaasa sana - ishini maisha safi! Siyo wote mna uwezo kama Mafwele kuhamisha familia Sauzi! Nyie Police Force TZ jueni kuwa madaraka na cheo ni ya muda tu! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai50,139 次观看 • 28 天前

‼️🚨THE END OF A REGIME IS NIGH‼️ Deputy Minister Hamis Mwinjuma whose stage name is Mwana FA took to the stage today to celebrate 30 years of Tanzanian hip hop known as Bongo Fleva The minute he mentioned “the government” the Gen Z crowd booed him mercilessly until he had to leave the stage! Samia Suluhu and her illegitimate govt are deeply unpopular but that is now the news! What is astoundingly clear is that the crowd that gathered for a rare entertainment moment turned collectively and openly so hostile at the mention of the government! The rejection is not only bar conversations or social media posts but now expressed fearlessly in public When I say #SamiaMustGo it is not only my opinion but an urgent and necessary step to resolve this crisis in #Tanzania Ninarudia mwisho wenu umefika Samia Suluhu na CCM - lini mmewahi kuona serikali ikikataliwa kwa kiwango hiki bila woga! Mnatutukana na kututisha ila tunazidi kutambua nguvu yetu kama umma na mkikaza fuvu kuna siku mtapopolewa mawe au makopo na kufukuzwa kwa aibu! Nchi siyo kiosk yenu Kizimkazi Hakuna amani hadi kimama kiondoke na tupate serikali ya mpito na hatua ya kwanza ni #FreeTunduLissu 🔥 Nasema #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai33,072 次观看 • 19 天前

Hadi Zanzibar pamechangamka!🔥 Kwa mujibu wa mkazi huyu jana watanganyika waliandamana huko Stone town wakipinga kubaguliwa na wazanzibari Tanganyika AMKA 🔥👊🏽 Muda ndo huu kuwekana sawa tupate #KatibaMpya bora kwa pande zote #77Tunatoka wote hakuna namna! Mbona #TutaelewanaTu ?
Maria Sarungi Tsehai43,629 次观看 • 29 天前

Tumewaonya sana mkatuita wachochezi! Vijana wa #Tanzania wamechoka na wamewachokeni madhulmat! Kutwa mnawakamata mnawatesa Wao wako mamilioni - wakigundua kuwa wao ni wengi kuliko ninyi mnafikiri mwisho wenu utakuwa mzuri? Leo Arusha mmeonja joto la jiwe Police Force TZ na watekaji! Acheni huu upumbavu wa kamatakamata! Mnapeleka nchi kubaya! Sitachoka kuwatahadharisha! Hivi kuna mwenye akili na ujasiri kwenye mfumo anayeweza kusimamisha huu uendawazimu? #TutaelewanaTu Young man resists brutal illegal arrest/ abduction and others stand up to police brutality in Arusha today! Tanzania is headed down a disastrous path with Samia Suluhu - a complete collapse of rule of law and the economy! Hear ye! Hear ye! That is why #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai64,452 次观看 • 1 个月前

‼️🚨ALERT‼️ In a special program on Iraq's Al-Oula television, the IraqiMP (Al Shamman) has revealed that the govt provided loans totaling $254 million to Tanzania ($191 million ‼️) , Uganda ($15 million ) and Central Africa Republic ($7 million) 😱😱 - the document acknowledges these debts as of 21st December 2025 Showing the official documents in front of the camera, the MP insisted that the loans were made through government decisions, sparking a heated debate on social media in Iraq over the economic and political criteria and goals that led to the decision. Is this debt also registered in Tanzania? Amkeni wapendwa! Kuna deni la dola za kimarekani milioni 191 tunaonekana kudaiwa na Iraq - kwa mujibu wa makabrasha deni letu tulikopeshwa kufikia tarehe 21 mwezi wa 12 mwaka jana ni hiyo dola 191 milioni na makabrasha yameanikwa kupitia mbunge Al Shamman Nyieee! Nawaambia haya ni majanga tu! Sasa kimama mkopaji ndo atatumaliza! Hili deni ni la Tanzania so Zanzibar nao wajiandae kuchangia malipo yake 😁 Nacheka ka mazuri ila #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai50,156 次观看 • 1 个月前

Nyie wazanzibari akina Simai tulieni! Huyu kimama mwaka 2019 alisema wazi hawezi kuachia kiti cha namba mbili kwenda kuwa rais Zanzibar! Na Magufuli hakumtoa sababu alimgomea na angemfukuza angefungua pandora box na ye atimuliwe Sasa ni hivi Nchimbi mkimpigia kura ya kutokuwa na imani bungeni mnatusaidia kama Taifa maana tutataka waondoke WOTE na Samia😁✊🏽 Wamepigiwa kura wote wawili kwa pamoja! Waondoke wote kisha na nyie ondokeni hapo bungeni! Na we Simai utakuwa wa mwisho hakikisha unazima taa zote 🤣 Makatili wauaji wakubwa #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai68,920 次观看 • 1 个月前

Meet brilliant young man Mika Chivala He has been detained on treason charges by the illegitimare govt of Samia Suluhu He led a prayer for the protestors and later joined them 😓 This exceptional young leader is punished for speaming his mind like thousands of others! Nchi ya kiwaki sana 🚮 huyu Mika ndo kiongozi anayetakiwa eti leo mmemfunga na kumpa kesi - chuki na husda tu maana kimama mtoto wake wa kiume tumeona posts zake anawaza mambo ya ajabu tu na bangi - leo anapewa pesa na kundi la mauaji ananyanyasa vijana bright kama Mika Eniwei #SamiaMustGo and we will free all political prisoners on #D9
Maria Sarungi Tsehai235,336 次观看 • 8 个月前

🔥‼️NEWALA BODABODA WAKIWASHA🔥‼️ Taarifa kutoka Newala - bodaboda wameweka beria wao 🤣 nawaambia mambo kuchele kila kona ya nchi hapo bado siku 7 kufika sabasaba! Taarifa: Bodaboda katika halmashauri ya mji wa Newala leo tar 30 Juni wameamdamana kupinga manyanyaso ya Polisi ambao wamekua wakiendesha oparation mbalimbali bila ukomo. Polisi hao wamekua wanaingia maeneo mbalimbali kama sokoni,Stand na maeneo mengine na kuzikamata pikipiki pamoja na wahusika au bila wahusika kuwepo wakati wa ukamataji na hatmae vyombo vyao vinakua vinashikiliwa na Polisi katika maeneo ya vituo vidogo na kituo kikuu cha wilaya. Ili kufanikisha upatikanaji au kurudisha pikipiki baada ya kukamatwa, Polisi wa usalama pamoja na wengine wamekua wakilazimisha wenye vyombo husika kulipa faini zaidi ya makosa manne na huchukua kati ya siku mbili hadi tatu kwa wahusika kupata vyombo vyao baada kulipa faini. Aidha polisi hao wamekua na utaratibu wa kuweka vizuizi katika barabara zote zinazoingia mjini hali ambayo imesababisha kudorora kwa biashara katika mji wa Newala kwakua bodaboda hao hulazimika kwenda kupata mahitaji ya wateja katika wilaya za jirani za Tandahimba na Masasi kutokana na usumbufu wa Polisi wa Newala. Katika kudai haki yao,bodaboda walifanikiwa kufikisha ujumbe wao kwa mkuu wa wilaya Newala Mh Alhaji Rajabu Kundya ambae aliwaahidi kumaliza changamoto hizo na huku msisitizo ukitolewa kwa askari wasio na uniform kuacha kuendesha oparation hiyo hasa nyakati za jioni ambayo inapelekea usumbufu na uharibifu wa vyombo kwakua vinapakizwa na magari ya polisi pasipo utaratibu. Nasema #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai34,533 次观看 • 29 天前