
Gerson Msigwa
@MsigwaGerson • 849,922 subscribers
The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports || Chief Government Spokesperson of Tanzania.
Videos

Safari ya pamoja ya MARAIS kwa SGR ya Tanzania. // Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na mgeni wake Mhe. João Manuel Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola, wakisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma kwenye Uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba, leo tarehe 30 Oktoba, 2026. Viongozi hawa watahudhuria sherehe ya uzinduzi wa Majengo ya Serikali na miundombinu ya Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma ambapo Mheshimiwa Rais Samia atakuwa Mgeni Rasmi. #KaziIendelee
Gerson Msigwa11,114 次观看 • 7 天前

Ndugu zangu Waandishi wa Habari mnaonipigia simu nyingi na kunitumia ujumbe mkiniuliza kuhusu jambo hili, ni hivi; Hili lilikuwa wasilisho langu katika kikao kazi cha Maafisa Habari nililotoa tarehe 8 Mei, 2026 Mjini Njombe nikiwa msimamizi na mratibu wasilisho langu katika vitengo cya habari Serikalini (sikiliza video mpaka mwisho) Nilikuwa nikitekeleza wajibu wangu na niliyoyazungumza/niliyoyakumbusha ni kwa mujibu wa Sheria ya Usalama wa Taifa, Sheria ya Utumishi wa Umma na Kanuni za Utumishi wa Umma. Naamini mmenielewa, kazi njema. #SinaNoma
Gerson Msigwa90,084 次观看 • 4 个月前

Kuna wakati ni vizuri kuwasikiliza watumiaji wenyewe wa Bandari. Asante Mnyalukolo CHRIS LUKOSI NB. Bandari haijauzwa, haitauzwa na hakuna mpango wa kuiuza. Juhudi zinazofanyika ni za kuongeza ufanisi wa bandari kwa kuweka uwekezaji mkubwa kupitia sekta binafsi ambao utatuongezea mapato kwa zaidi ya mara 3 ikilinganishwa na sasa, utatuongezea ajira, utavutia biashara ya bandari yetu, utatuongezea manufaa ya reli yetu ya kisasa (SGR) na utatujengea uwezo wa kuendesha bandari kisasa. 🙏🏼🙏🏼 GlobalNetTVChannel
Gerson Msigwa568,118 次观看 • 3 年前

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma siku ya Jumanne tarehe 8 Septemba, 2026. Mheshimiwa Prof. Palamagamba Kabudi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu akizungumza na Waandishi wa Habari kutoa taarifa ya tukio hili kubwa na la kihistoria kwa Tanzania.
Gerson Msigwa24,858 次观看 • 2 个月前

U F A F A N U Z I. 1. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) lipo katika mchakato wa kuanza safari za Ulaya. Huko sio kuzuiwa. 2. Serikali haijanunua na haina mpango wa kuanza kununua vichwa vya treni za SGR vya kutumia mafuta ya dizeli. Tunanunua vya umeme, haturudi nyuma. PUUZENI UPOTOSHAJI HUU.
Gerson Msigwa111,751 次观看 • 1 年前

Kwa mara nyingine Shirika la Ndege la Uingereza (British Airways) linarejesha safari zake za moja kwa moja Tanzania. Hizi ni habari njema na ni matokeo ya kuimarika kwa diplomasia yetu ya uchumi na uhusiano wa Kimataifa unaojenga kukubalika kwa Tanzania na kampuni na mashirika makubwa Duniani. Kuanzia Julai 2027 tukutane katika takwimu (sio porojo) za mageuzi makubwa katika ongezeko la watalii, kukua kwa biashara kati ya Ulaya na Tanzania na mengine mengi. Tutembee kifua mbele na tusitishwe na yeyote TUPO VIZURI, TUNA SERIKALI MAKINI na TUNA NCHI NZURI. #KaziIendelee
Gerson Msigwa13,903 次观看 • 1 个月前

Tuna furaha na tupo tayari kwa AFCON. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokutana na Rais wa Shirikisho la Kandanda Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe katika Ofisi ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Septemba 17, 2026.
Gerson Msigwa14,092 次观看 • 1 个月前