NBCTanzania's banner
NBCTanzania's profile picture

NBCTanzania

@NBCTanzania37,597 subscribers

Benki pekee inayodhamini NBC Premier League, NBC Championship na NBC Youth League.

Shorts

Epuka usumbufu na gharama za kuja mpaka tawini ili kupata huduma za kibenki. Kupitia NBC Wakala aliye karibu nawe unaweza kulipa kistraika LUKU, maji, malipo ya Serikali na kodi mbalimbali. #NBCBurudaTime #NBCWakala #DaimaKaribuNawe

1,914,795 次观看

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐊𝐢𝐛𝐰𝐞𝐧𝐚 Pata faida ya hadi 10.5% kwa mwaka utakayolipwa kila baada ya miezi 3,6 au mwaka. Tembelea tawi lolote la NBC kuwekeza sasa au wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa maelezo zaidi. #TunaingiaSite #NBCMgodini

1,248,996 次观看

Mtumishi, usihangaike! Daka mkopo wa muda mfupi papo hapo kupitia NBC Kiganjani haraka, rahisi, bila longolongo. Nenda kwenye App, gusa sehemu ya Mkopo, kisha chagua Muda Mfupi halafu Imooo. Shusha App kutoka App Store au Play Store ule mema ya 𝐍𝐁𝐂 𝐊𝐢𝐠𝐚𝐧𝐣𝐚𝐧𝐢.

473,135 次观看

Wewe mwenyewe unafunguo ya maisha yako. Mwaka huu unaweza kuitwa Baba au Mama mwenye BMW X1. Fungua akaunti ya NBC, weka akiba, uwe kwenye droo ya kushinda BMW X1 na mazawadi kibao kila mwezi. Tembelea tawi lolote la NBC au piga 0800 711 177 (BURE) #ShindaMechiZako

524,491 次观看

Kitini kwa kitini hadi UE unainyoosha. Fungua NBC Student Account, weka akiba na upate nafasi ya kushinda BOOM au laptop kali. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi BURE 0800711177 au tembelea tawi letu lolote lililo karibu nawe. #ShindaMechiZako

237,812 次观看

Mfungulie mwanao Chanua Account, muwekee chochote kitu huku ukimfundisha nidhamu ya pesa, na upate nafasi ya kujishindia Tablet yake. Akaunti hii haina makato ya mwezi na utapata faida ya kiasi utakachomuwekea. Tembelea tawi la NBC lililopo karibu yako au Piga 0800 711 177 kwa msaada zaidi. #ShindaMechiZako

232,614 次观看

Videos

没有更多内容可加载