
Salim Kikeke
@Salym • 1,106,384 subscribers
Co- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzania
Shorts
Videos

“Tuliyenaye Freeman Mbowe ni Alfa na Omega, kwa mujibu wa katiba yetu siku Mbowe akisema hataki kugombea na tunambeba kwenye machela ndio tutamuweka benchi…” ~ Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Yericko Nyerere kwenye mdahalo wa Medani za Siasa. Credit | Startv Tanzania Edwin Odemba #KÐ
Salim Kikeke127,775 Aufrufe • vor 1 Jahr

Akizungumza na kituo cha habari cha NTV Kenya mwanaharakati Maria Sarungi ambaye alitekwa siku ya jana na watu wasiojulikana nchini Kenya amesema kuwa alitekwa na watu wanne. “Nilitekwa na watu wanne, watatu walishuka ndani ya gari na moja alikuwa dereva wa gari hiyo…” ~ Sarungi. Credit | NTV Kenya #KÐ
Salim Kikeke75,954 Aufrufe • vor 1 Jahr

Kwa heshima kubwa na taadhima nachukua nafasi hii kutangazia umma kujiunga rasmi na familia ya Ufalme. Huu ni ushirika ambao haujapata pengine kutokea kuunganisha majina makubwa katika Sanaa na katika Habari. Tunaunganisha nguvu katika kupeleka mbele tasnia zetu. Huu ni mwanzo wa safari ndefu ya na kusisimua katika kuleta mapinzudi kwenye habari na muziki. Nimerudi nyumbani Tanzania kwa ajili ya jambo hili. Hapa ni Nyumbani. Karibuni sana. Karibuni nyote kwenye Ufalme. Crown Media Alikiba #HapaNiNyumbani #MwenyeRedioYakeKaja
Salim Kikeke89,573 Aufrufe • vor 2 Jahren

Akizungumza katika MEDANI ZA SIASA, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Emmanuel Ntobi ameeleza sababu za yeye kutaka Freeman Mbowe kuendelea kusalia kama Mwenyekiti wa chama hicho. “Kama tunavyojua wine inapozidi kukaa ndiyo inakuwa tamu zaidi na sisi ndivyo tunavyoamini kuwa mwenyekiti sasa hivi alivyozeeka na maarifa yake ndiyo anazidi kuwa mtamu…” ~ Ntobi Credit | Startv Tanzania Edwin Odemba #KÐ
Salim Kikeke59,020 Aufrufe • vor 1 Jahr

Akijibu hoja za wanachadema wenzake Yericko Nyerere na Emmanuel Ntobi, Gerva Lyenda msimamizi wa kampeni za Tundu Lissu ameshangazwa na kauli kuwa “Mbowe amemtengeneza Tundu Lissu” huku akisisitiza kuwa hoja hiyo sio ya kweli. “Mtu anazungumza kuwa fulani ndiyo Alfa na Omega kuwa bila fulani hakuna taasisi huo ni mtazamo wa hovyo sana…Wanasema Mbowe amemtengeneza Lissu, Lissu amegombea ubunge mwaka 1995 na aliingia CHADEMA mwaka 2004 unawezaje kusema umemtengeneza mtu huyo? Ni uongo” ~ Gerva Credit | Startv Tanzania Edwin Odemba #KÐ
Salim Kikeke48,947 Aufrufe • vor 1 Jahr

Akijibu swali la Sammy Awami kuhusu kuitwa MWANAHARAKATI, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kwake kumuita Mwanaharakati ni kumheshimisha tofauti na kumuita mwanasiasa kwani wanasiasa wengi wana sifa ya uswahili na uongo uongo. Credit | BBC News Swahili #KÐ
Salim Kikeke46,226 Aufrufe • vor 1 Jahr

Timu ya taifa ya Tanzania TAIFA STARS imerejea kutoka Ivory Coast na kuzungumzia uzoefu waliopata Afcon
Salim Kikeke13,953 Aufrufe • vor 2 Jahren
Keine weiteren Inhalte verfügbar