Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

59,108 Aufrufe • vor 11 Monaten •via X (Twitter)

9 Kommentare

Profilbild von Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TVvor 11 Monaten

Tunayo sifa ya kwanza hawa ni watanganyika wasipewe kipaumbele 1. Zanzibar wao hata vyuo vikuu wanapewa mkopo 100% 2. Grade za shule za Zanzibar F inaanza 15 wakati Bara ni 21 na recall (1990-2009) 3. Zanzibar wana ruhusiwa kuwa na Uraia pacha (Oman na Tanzania wapo wengi sana ) Ila Bara ni majanga 4. Mzanzibari anaruhusiwa kuwa na ardhi Tanganyika, Ila Mtanganyika Hana hiyo 5. Mtanganyika Bidhaa Zake Kama ndizi haziuzwi Zanzibar na wanapigwa Ila wapemba wamejaa Bara wanafanya biashara 6. Ushuru wa uingizaji Bidhaa Zanzibar wamepewa kipaumbele chini Ila kwa wabara wanakamuliwa Kama ng’ombe 7. Deni la Taifa wanalipa Tanganyika Ila kukopa tunakopa sote 8. Mzanzibari Anaweza kuwa Kiongozi bara , yaan akawa DC akawa Raia au makamu wa Rais, Ila Mtanganyika hawezi kuwa hata mwenyekiti wa nyumba kumi kumi Zanzibar Yapo mengi sana

Profilbild von Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehaivor 11 Monaten

Heavily edited to skew the context and you know better Salim - cheap propaganda always fails to convince

Profilbild von Gmmy
Gmmyvor 11 Monaten

Don't forget this.....

Profilbild von 𝘀𝗶𝘆𝗲𝗻𝗴𝗼
𝘀𝗶𝘆𝗲𝗻𝗴𝗼vor 11 Monaten

Kwa maneno haya ya baba wa taifa na kwa hatua tuliyofikia Nchi yetu sasahivi ili tuzuie udini na Ukabira best solution ni REFORMS Kuanzia kwenye Tume Ya uchaguzi n.K Easy.

Profilbild von Sengo
Sengovor 11 Monaten

Hawa ndio walikua waandishi habari sio nyie chawa wa siku hizi.

Profilbild von 𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨vor 11 Monaten

Reforms zitatuokoa na haya.

Profilbild von Goodluck
Goodluckvor 11 Monaten

Katika vitu Nyerere alijitahidi ni kukomesha ukabila. Sio Rwanda tu huko Kenya sio pw. Hata Raisi Ruto huyu anapigwa vita miongoni mwa factors ni Ukabila.

Profilbild von ULIZA MDUDESOKA
ULIZA MDUDESOKAvor 11 Monaten

@SuluhuSamia tayari ana sifa zakibaguzi. Warabu wanauziwa tanganganyika. Viongozi wa MAKANISA WANASHABULIWA na MAKANISA YANAFUNGIWA.💔🥹 Watanganyika WANATEKWA na KUUWAWA. Masaai Ngorongoro wamebaguliwa sana na KUWAUA. CHADEMA wamebaguliwa hawatakiwi WANAITWA WAAINI. WANAPOTEZWA.

Profilbild von Dady Joseph
Dady Josephvor 11 Monaten

Maraisi wa dini ya kikristo wamekuwa kipaombele sana kwenye kuusema ukweli na kuwa na vision kwa taifa ila watu huupinga huo ukweli ndo tunapo angamia