
SIR TIVA
@Sativa255 • 185,722 subscribers
Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.
Shorts
Videos

Chaajabu nae MWAMPOSA anajifanya anashangaa..!!! Mchawi kavaa Kamatia chini😂
SIR TIVA109,430 views • 6 days ago

Nisaidie kusambaza ujumbe huu USIKU HUU TUMPATE MALISA. #FreeMalisa REPOST.
SIR TIVA19,004 views • 2 days ago

Huyu ndie PROFESA yani lugha inayotumika mpaka mtoto wa miaka miwili anaelewa. REPOST 200
SIR TIVA25,188 views • 4 days ago

@sportybettanzania NILIWAONYA LAKINI..! #football #soccer #epl #tutakuwepo🫵🏾😎
SIR TIVA14,097 views • 3 days ago

Hii ndio TOP 6 YANGU YA EPL 2026/2027. #epl #arsenal #manutd #soccer #tutakuwepo🫵🏾😎
SIR TIVA37,979 views • 14 days ago

Upeo wa akili wa WATANZANIA wa sasa upo juu mno. SIKILIZA KWA MAKINI KISHA REPOST JUMBE HII.
SIR TIVA64,718 views • 1 month ago

Sio physics tuu-angalia dogo anavyosimulia SOMO LA HISTORY kama unaangalia movie. Kubalini kataeni hawa madogo wa sasa GEN Z uwezo wao wa akili upo juu sana kuliko nyie wazee wa KALE. Hata walimu wenu wa zamani walikuwa JAU asilimia kubwa. Hapa NECTA wakikuambia UFAULU UMEPANDA UTABISHA?
SIR TIVA68,421 views • 1 month ago

Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu. MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA. Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili. 1. KATIBA MPYA. 2. FREE TUNDU LISSU. Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA. Voda (MPESA): 0744446969 JINA: CHADEMA HQ. Repost 500
SIR TIVA90,093 views • 1 month ago

Kanuni yetu haijabadilika, VIDEO za Quality MBOVU angalia mpaka mwisho😂
SIR TIVA25,297 views • 13 days ago