Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Kitengo cha SYSTEM ๐Ÿ˜‚๐Ÿซต๐Ÿพ Hii nchi kila mtu TAPELI.

401,966 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

Kisheti's profile picture
Kisheti1 year ago

Swali la msingi kwa Aya yanayotokea yule luteni wa miaka 24 Na uyu kitengo system SARE WANAZITOA WAPI? naona comments zote zinaongea ovyo bila kuhoji vitu vya msingi Hawa watu sare wanazitolea wapi?

Makanda Bara's profile picture
Makanda Bara1 year ago

Hili la mwisho kasema unanichosha af anaambiwa pole mdogo wangu huyu Dada atakua katiri sio bure!!

Vitus Nkuna's profile picture
Vitus Nkuna1 year ago

JKT -Mbeya Mafinga kaniacha na mshangao. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ bora tubeti ๐Ÿค

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

- Know Me

KIDUKU's profile picture
KIDUKU1 year ago

Alijua Akinyoa KIDUKU Na Akikwangua Ndevu Akawa Kama ZUCHU Akivaa Na Gwanda Anakua Kamaliza Kila Kitu KUMANYOOOOKO Zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Bukayo shafi๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Bukayo shafi๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 year ago

Me jkt nimepiga kule singida chanika mkuu

NYANGUMI's profile picture
NYANGUMI1 year ago

Kuna bro alitoka DRC akarud na t-shirt za jeshi la South Africa aaniambia chukua hizo ukivaa hawakuzingui nikamwambia Acha usenge baki nazo mwenyewe

WHYMYCATISSAD's profile picture
WHYMYCATISSAD1 year ago

Sema jamaa kama ni mtu kweli hivi ila inakuja inakataa

Evance's profile picture
Evance1 year ago

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ uyu dada anayemuhoji so mtu mzuri kabisa ety "pole mdogo wangu" mwishoni akamwambia nakuchosha mdogo wangu hawa ndo wale wanaofanyaga watu wanakula doso sana jkt utasiki maafande madogo wamesema wakiwa wanakula ugali wananiona kwenye mboga๐Ÿ˜€

Godfrey Matinya's profile picture
Godfrey Matinya1 year ago

Naona mnacoment2 ,hio video ukiiangalia vizuri utajua huyo jamaa ni askari kabisa yaan anachofanya apo anawavuruga ao maana kwanza keshaona wanamrekodi kwaio kunamambo hawezi ongea ongea2 anachofanya kuwavuruga tu๐Ÿ˜‚

paul dicanio makoye's profile picture
paul dicanio makoye1 year ago

Huyu wala sio hajui vyote anajua sema ni namna tu yakufanya hii video watu waone jinsi unavyoweza jichanganya kama sio muhusika..

Related Videos