SIR TIVA's banner
SIR TIVA's profile picture

SIR TIVA

@Sativa255182,156 subscribers

Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.

Shorts

Kalage NIMEKATAZA kama huna ubingwa wa ULAYA kubishana mitandaoni. Sawa huna UEFA tupe europa basi.

21,328 Aufrufe

Bongo zozo anapiga tuu mitama ya SHINGO mamae. 😅

44,674 Aufrufe

Hatumalizi week hatujaokota maiti za watanzania. Utekaji unaendelea kushamiri kwa kasi nchini. Huoni uwajibikaji wala kauli ya kukemea jambo hili. Uhai wa watanzania kwasasa sio kabisa kipaombele cha WAKOLINI WEUSI. Sijui kama taifa tumewahi pita nyakati za giza kama hizi.

21,134 Aufrufe

HABARI MBAYA KUTOKA MKOANI GEITA Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Geita unaojulikana kama MSASA ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela huku hisa za Kiongozi huyo zikisimamiwa na Cosmas Ignas, mtoto wa Samia Abdul na mtoto wa mkurugenzi wa usalama wa Taifa Mombo. Leo yani Machi 29, saa 5 asubuhi mgodi huo umeua watu zaidi ya 200 baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa ndani ya mashimo, Kikosi cha gasia FFU wametanda eneo hilo wakati zoezi la kuopoa miili iliyonasa kwenye kifusi likiendelea Waandishi wa habari wa Mkoa wa Geita wamehongwa pesa ili wasitoe habari hii. Hakuna mtu yoyote ambae anaruhusiwa kusogea maeneo ya Maduara na mpaka sasa miili ya watu zaidi ya 20 imeopolewa kwenye mashimo hayo lakin bado watu wengi wako chini.😭 Hii ndio Serikali ya Nduli Idd Amin Mama uhai wa watu kwao sio kipaumbele. Repost 200

44,897 Aufrufe

Watanzania tumeona ndugu zetu wakifa mbele ya macho yetu na wanaotuua ni POLISI , USALAMA WA TAIFA NA VIKOSI VYA SAMIA. Hatujawahi kuona hali hii kabla tangu nchi ipate uhuru. Haya yote aliyafanya nchi ikiwa GIZANI akifikiri dunia haitaona haya mauaji ya kinyama. Leo tunapost na dunia inaona unyama tuliofanyiwa na Dikteta JIKE. hakika hizi damu za watanzania hazitaenda BURE kamwe.

113,457 Aufrufe

Lisaa lizima la kusikiliza USENGE.

Lisaa lizima la kusikiliza USENGE.

26,509 Aufrufe

Mbinu ya kudili na VIBAKA wa corner FC. 😁😁

49,269 Aufrufe

Ukisikiliza hiki kipande ndio utajua HAWA WATEKAJI NI WAKINA NANI. “Sisi ni maaskari” “Twende Gogoni” Kila siku nawaambia hawa Police Force TZ chini ya MAFWELE ni watekaji mnasema napiga kelele. Sitaacha kupiga kelele mpaka MNIELEWE. Repost 200 chap chap.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

161,933 Aufrufe

MAMAEE UTALIPAAAA

MAMAEE UTALIPAAAA

46,540 Aufrufe

Tunataka kujua hali ya NG'OMBE inaendeleaje? Tupo tayari kuchanga kuhakikisha NG'OMBE anarudi kwenye afya njema kuendelea harakati zake za kila siku. Pole sana NG'OMBE.

47,794 Aufrufe

Home boi MADOWO jau sana😁 Anauliza tangu lini Watanzania tumeanza kujiita "MALAWI". Kuna mengi utayajua janja we tulia.

41,905 Aufrufe

Daah 😂😂😂🫵🏾🫵🏾🫵🏾

Daah 😂😂😂🫵🏾🫵🏾🫵🏾

94,608 Aufrufe

MBEZI kinaendelea kuwaka muda huu. Msimamo ni ule ule. #MO29

55,977 Aufrufe

Hili kubwa jinga linaumizwa na mengi. Yani kutopigiwa makofi juzi imeliwazisha mpaka linaenda kubwabwaja mbele za watu.

28,520 Aufrufe

Ingekuwa YANGA hapa mngepiga makelele GSM anaharibu ligi. Nini hiki? Kipa anamuwekea kabiza MUKWALA. Haya tuliyajua kuwa leo ni AUNT NA SHANGAZI wanacheza ndiomaana hatujapoteza muda wetu kuangalia UPUMBAVU.

90,203 Aufrufe

Mac Voice hakuwa pekeake.😁🫵🏾

Mac Voice hakuwa pekeake.😁🫵🏾

79,288 Aufrufe

Huyu aliepigwa JEBU MOTO na mlinzi wa HECHE wamfuatilie nyuma nyuma mpaka NYUMBANI KWAKE.🫵🏾😆

67,062 Aufrufe

Kituo cha makusanyo ya matokeo kimechomwa moto Jimbo la MAGU mkoa wa Mwanza. MADAI YA WAANDAMANAJI. 1. Uchaguzi ufutwe, 2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi 3. Waliotekwa waachiliwe huru, 4. Kesi za mchongo zifutwe. #MO29

44,010 Aufrufe

MIANZINI ARUSHA muda huu, ofisi za CCM zinachomwa moto. Maandamano yanaendelea ikiwa ni siku ya 3. Madai ya waandamnaji, Matokeo ya uchaguzi yafutwe, KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Tume huru ya uchaguzi na utawala wa Haki. #mo29

43,315 Aufrufe

Boda ya KASUMULU KYELA hii ndio hali halisi. polisi wamekimbia wananchi wameushika mkoa. #MO29

42,380 Aufrufe

Videos

Sativa255's profile picture

Ila MESHA😂😂🫵🏾🫵🏾

SIR TIVA

422,584 Aufrufe • vor 1 Jahr