
SIR TIVA
@Sativa255 • 182,156 subscribers
Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.
Shorts
Videos

Kwasasa vijana wa MBEYA wameamua kutumia platform zao kuwakumbusha wakoloni weusi hii mbeya ya sasa sio ile tena (GREEN CITY). Barabara zimekuwa MBOVU-Vumbi kila kona. Huoni tumaini kutoka kwa WAKOLONI WEUSI licha ya wananchi kulipa KODI. Mbeya imekuwa kama JEHANAMU ya duniani, kipindi cha JUA kali vumbi kila kona na Kipindi cha MVUA ni matope kila kona kama tupo bonde la mpunga usangu. Hakuna nafuu ya jua na mvua mbeya—ni kama tumeletwa KUTESEKA MPAKA kufa. “Tulia” alikuwa spika zaidi ya miaka 7 alichofanya yeye ni KUFUNGUA TAASISI ya kukopesha wananchi. Anakopesha wananchi na kuwakimbiza marathon kila mwaka kama vichaaa. Hakuna kingine amewafanyia wana mbeya. Kodi zinalipwa vizuri ila MJI umekuwa kama DAMPO la mkoa. Turudishieni MBEYA YETU (The Green city).
SIR TIVA29,309 просмотров • 3 дней назад

Kesho zamu ya HATERS kupiga parade NAIROBI. Omondi anaongoza show😂😂😂😂😂
SIR TIVA21,541 просмотров • 4 дней назад

Ila KOMBO ni msanii na JAMBAZI sana 😂😂 Anasahau miezi kadhaa amejaribu kuhonga MABILIONI huko kwa maseneta na hajasikilizwa. Leo anasema atawaleta maseneta waje bongo waangalie wapi tunachinjana😂😂 NA MISUKULE YA MAMA INAGONGA MEZA KAMA IMEONA MAITI MPYA.😂😂 “Who are you” mnafikiri wamekurupuka? HAPO mnafungiwa VISA tuu kelele zote hizo, wakianza kufanya makubwa mtakaa humo ndani?😂😂 Tuliwaonya mkahisi tunachekesha-mkaishia kulipa CHAWA watutukane. Sasa ni wakati wa kuwaamini chawa wawatetee kwa maseneta😂😂 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA38,615 просмотров • 9 дней назад

Sasa fikiria kuna watu wanajiita wabunge wanatamba na ubunge ambao walipata kwa kumwaga damu za watu. Asante MCHUNGAJI kwa kuja kuongeza sauti ya kukemea MAOVU kwenye nchi. Hujachelewa tunakutegemea kwenye hii safari ya kupambana na WAKOLONI WEUSI. REPOST 200
SIR TIVA35,735 просмотров • 10 дней назад

Hii haijawahi KUTOKEA—Jana historia imeandikwa NIGERIA🇳🇬 #naijatiktok #soccer #football #tutakuwepo🫵😎
SIR TIVA26,084 просмотров • 8 дней назад

Babaangu MWAMBIGIJA asante sana na salamu nimezipata baba. Lazima tukuombe hii nchi ndugu zetu wengi sana wanatupwa maeneo kama hayo tunaishia kuzika nguo. WAKOLONI WEUSI wamekosa kabisa ubinadamu-wanaona bora mkosoaji akaliwe na mamba wao wabaki wanatamba 5 star hotel. MUNGU wetu anaona tunavyoteseka watoto zake na haya hayawezi kuwa maisha ya watanzania milele lazima tufike mwisho na mwisho upo KARIBU. NCHI HII TUTAIKOMBOA TUU WATAKE WASITAKE. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA30,566 просмотров • 10 дней назад
9:02
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Jana usiku baada ya mipira nilipata muda wa kusmikiliza mzee WARIOBA kapiga moja kati ya mahojiano mazuri sana. Amesema MATOKEO ya uchafuzi oktoba 29 ni BANDIA. Kasema kwa kunyooka bila kuweka kona kona. Asante mzee WETU WEWE NDIE MZEE WA TAIFA ULIEBAKI WENGINE NI VIBAKA.
SIR TIVA31,370 просмотров • 24 дней назад

Huyu Girishoni juzi juzi tuu si hapa kawatukana watanzania kwa kutuita sisi wote ni "NGUCHIRO". LEO anakiri kwamba yeye amehusika kukamata vijana zaidi ya 80 waliotoa maoni yao (yeye anasema wamemtukana). Pia anasema kuna vijana wengine zaidi wanashikiliwa kwa kesi za kutukana viongozi. Tunamtaka aseme hao vijana wako wapi na wanashikiliwa vituo gani, na kama wamekosea wapelekwe mahakamani. Kuwashukiliwa vituoni na kuwatesa ni kinyume cha sheria. Huenda miongoni mwao wanakufa na labda ndio hao wanaotupwa mtoni na mtaani. Tatu aache kujaza hofu watanzania. Kutoa maoni kinzani sio matusi. Jinga Wahed.
SIR TIVA34,067 просмотров • 27 дней назад

ASHUKURIWE BIEN bila hivyo nchi ingekuwa kwenye AIBU NZITO.😂🫵🏾
SIR TIVA419,174 просмотров • 1 год назад

Ofisi yangu ya kufanya content & betting ipo tayari kwa matumizi kwasasa. Bado kuna vitu kadhaa vinapungua ila haviwezi kunizuia kuanza leo. Kama niliweza kujibana pembezoni mwa TV kwa siku 54– na kutengeneza contents 406 ambazo zilipostiwa kwenye social zangu zote, hapa panatosha sana. Content zangu ni kuongelea Mpira wa mbele tuu na sio CHA NDIMU (mpira uliolaaniwa). Lakini pia kufanya Betting kwa muda mwingi hapa ndipo patakuwa OFISI YANGU mpya. Idea nzima imetoka kichwani mwangu, na hii ni baada ya kuona kutoka kwa contents creator wengi wa NAIJERIA (WAPOPO) nikaunganisha mawazo na kuja na hiki kitu. Kwenye suala la contents bado WAPOPO wataendelea kuwa WALIMU WANGU, wajomba wapo serious sana. Narudia tena kama unataka pesa za mitandaoni basi tafuta wapopo wawe kama walimu wako. Na uzuri ni kwamba WAPOPO wapo wengi kwenye kila sekta, kila unachofikiria kuhusu mitandao na kukuingizia pesa basi kuna WAPOPO kwa MAELFU tayari wanafanya. New Day. New Week. New OFFICE. TUTAKUWEPO🫵😎
SIR TIVA103,096 просмотров • 3 месяцев назад

Hawa ndio wabunge wa watu sasa na wabunge wanaotegemea kura za wananchi. Repost 200
SIR TIVA24,972 просмотров • 23 дней назад

Polisi wanazuia Bodaboda, Magari, Bajaji, hakuna kwenda Mjini. #D9
SATIVA148,022 просмотров • 5 месяцев назад