
Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania • 2,003,435 subscribers
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Shorts
Videos

𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐔𝐋𝐋 𝐒𝐓𝐑𝐈𝐊𝐄𝐑 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘 𝟐𝟎𝟐𝟔. Medie Kagere ‘MK14’ atakuwepo katika Simba Day 2026 lakini pia akishiriki mchezo wa kirafiki akiwa mmoja wa wachezaji wa menejimenti ya Simba. Umemiss kuona magoli yake? Karibu Jumamosi hii. #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
Simba Sports Club48,502 views • 6 days ago

𝐋𝐄𝐆𝐄𝐍𝐃 𝐄𝐌𝐎𝐒𝐓𝐈𝐍𝐆 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘 𝟐𝟎𝟐𝟔. Mmoja wa wageni maalumu katika Simba Day 2026 atakuwa ni Legend Emmanuel Okwi. Siku kubwa ya kumuaga kwenye mpira kwa heshima anayostahili lakini pia akicheza mchezo wa kirafiki akiwa na jezi ya Simba SC. #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
Simba Sports Club36,696 views • 7 days ago

Admin awambie alichoambiwa awambie au mmeshaona kwa macho ya nyama? 😉 #NguvuMoja
Simba Sports Club23,146 views • 11 days ago

𝐁𝐚𝐝𝐨 𝐬𝐢𝐤𝐮 𝟑! Kuelekea Uzinduzi wa Wiki ya Simba na Jezi Mpya za Simba 2026/27. Safari ya Semaji ndani ya Ngorongoro inaendelea, na leo amefika kwenye Mchanga wa Maajabu. Mchanga Unaohama, ajabu la asili linalosogea mita 10–15 kila mwaka bila kupoteza umbo lake. Semaji bado yupo sana Ngorongoro. Unadhani kesho atakuwa wapi? #ThePrideReturnsHome #TwendeNgorongoro #SimbaNguvuMoja #VisitNgorongoro
Simba Sports Club20,061 views • 13 days ago

𝐒𝐢𝐤𝐮 𝟓 𝐳𝐢𝐦𝐞𝐛𝐚𝐤𝐢! Kuelekea Uzinduzi wa Wiki ya Simba na Jezi Mpya za Simba 2026/27 ndani ya 𝐊𝐫𝐞𝐭𝐚 𝐲𝐚 𝐍𝐠𝐨𝐫𝐨𝐧𝐠𝐨𝐫𝐨. Na leo katika 𝐒𝐚𝐟𝐚𝐫𝐢 𝐲𝐚 𝐒𝐞𝐦𝐚𝐣𝐢 amewasili 𝐎𝐥𝐝𝐮𝐯𝐚𝐢—mahali ambapo simulizi ya maisha ya mwanadamu ilianzia, chimbuko letu sote. Lakini huu ni mwanzo tu… Kesho Safari ya Semaji inaendelea kukuletea maajabu mengine ya Ngorongoro. Atakuwa wapi? 🤔 Usikose kufuatilia! #ThePrideReturnsHome #TwendeNgorongoro #SimbaNguvuMoja #VisitNgorongoro #SimbaWeek
Simba Sports Club13,959 views • 15 days ago

Matukio ya ‘kazi maalumu’ yaliyofanywa na vijana ya chui. #NguvuMoja
Simba Sports Club28,318 views • 1 month ago

Siku ya kwanza ya Nathaniel Chilambo kwenye uwanja wa mazoezi. #NguvuMoja
Simba Sports Club12,341 views • 22 days ago

𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐅𝐎𝐑 𝐅𝐈𝐅𝐀 𝐏𝐔𝐒𝐊Á𝐒 𝐀𝐖𝐀𝐑𝐃. Dunia imeona bao bora zaidi mwaka huu ni kutoka kwa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama. Utamu wa bao hili zaidi ni kumfunga mtani na kuchangia mtu kuliwa kichwa. Jambo la kufanya kwa Mwanasimba ni kutag akaunti ya FIFA ujumbe uwafikie mapemaaaaa!!! #NguvuMoja
Simba Sports Club37,818 views • 3 months ago