Loading video...
Video Failed to Load
Kipenzi cha Wanasimba. #NguvuMoja
62,344 views • 16 days ago •via X (Twitter)
31 Comments

Hapa mnapoteza mda kumtetea hyu jamaaa, hana uwezo wa kusaidia timu , dirisha dogo muacheni tu aje streka mwngine kuliko kulea ujinga mliofanya wakati wa usajili

Sisi tunampenda kila Mchezaji anaye chezea team yetu kwa sababu kila Mchezaji anachangia kutupa furaha hata katika nyakati za Giza.

Tunachompendea sisi ni ukumbusho alionao mgongoni anautangaza vyema mo 29 Afunge asifunge sisi shangwe anawakilisha ujumbe muhimu

Ngoja tupoteze hata mechi 2 uone kama hatujamgeuka😂😂😂 Jamaa ajitafute mapema kabla upepo haujakata.......

Mimi wanitoe

Mnataka tucheke mtuteke 😂

Simba nguvu moja 💪

Kipenzi wapi tafteni mshambuliaji

Chezaji lettuuuu ilo

Ni ngumu sana kumtetea huyu jamaa mbele za watu.

Nyie wana Simba ni wasenge huyo ni kipenzi cha wanaSimba sio cha Watanzania

Siku matokeo yakiwa mabaya ndo utajua kipenzi chao au vipi

Sema aliweka hiyo caption ni mnaaa sana😂😂

Simba ni man united iliyochangamka 😂😂😂

Aibu utaona wewe

😄😄😄

Afunge bwana asee

Teka la boli

Mbumbumbu 🤣🤣🤣

Hahahaha hebu postini vitu vya maana

#NguvuMoja

Ila doumbia sio wa kwenda naye makundi

Ila hii team bana 😀😀😀

Sio kipenzi chetu iko, kipenzi chetu @chama

Ila😃

Imagine venye wansimba tunashow unconditional love,..

Kipenz cha nani bana

Huyu Nae anatukasirisha tu hamna lolote analofanya

Tukimchoka tutampiga Anacheza mpira wa mchangan sas ndo nn

Maana halisi ya no matter what tunakukubali

Nilibahatika kuangalia mazoezi ya mnyama Doumbia ni 🔥🔥 ila akifika kwenye mechi ni vitu viwili tofauti, maswali ni mawili, nani anamloga Doumbia, nini kinampata huyu mwanaume mbona nashindwa kuelewa!!
