
Dr Mmbaga
@ZakayoMmbaga • 15,294 subscribers
MEDICAL DOCTOR (M.D) https://t.co/XOqIpyoh3r
Shorts
Videos

Twitter Invisible Security kwanini kwenye misafara gari zinabadilishana lane kama hivi?
Dr Mmbaga173,571 views • 3 years ago

Nimefurahi kuona vijana wanaanza kujibiana kwa shule. Kajuna amekuwa anadeliver kile anachofikiri ni sahihi (jambo ambalo si baya) ila anapaswa kwenda deep kuhakiki fikra zake. Kwenye hili angetembelea wenye Aquariums tu aulize ni kwanini wanapanda mimea hayo maeneo.
Dr Mmbaga18,479 views • 3 months ago

U.K saivi anachekea sebuleni tu akiwacheki vijana wanavyokiamsha😂😂
Dr Mmbaga33,323 views • 2 years ago

Wadau wa usalama barabarani, hivi gari inaruhusiwa kuwa na taa za nyuma za dizaini hii?, juzi usiku tuliongozana na lori kadhaa za namna hii hasa kutoka nchi za jirani & they are very disturbing. Ikiwa mbali unaweza ukadhani ni gari inakuja in oposite direction but in your lane.
Dr Mmbaga36,096 views • 3 years ago
No more content to load