Adventure-360's banner
Adventure-360's profile picture

Adventure-360

@Adventure_36184,980 subscribers

Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌

Shorts

Apo DP WORLD Shabiby line wana jambo lao. 50 units 🔥🔥🙌

31,665 просмотров

Dereva wa malori uko Congo wanapata shida sana, Huyu jamaa bila panga apa sijuw ingekuwaje 😃

198,357 просмотров

Wakuu hii video huyu jamaa amerekod kwa kutumia simu gani? Noma sana 🙌

195,577 просмотров

Hii ajali ilitokea maeneo ya Tinde apo ikihusisha basi la kampuni ya Namjunisa na Land Cruiser, Hao kwenye Land Cruiser Mungu awatie nguvu sana 💔💔

22,651 просмотров

Apo kariakoo mtaa wa Congo na mchikichi kuna ghorofa limeporomoka chini muda huu. Poleni sana aisee, taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika.

130,714 просмотров

Njia ya Songea - Njombe nyembamba sana. Kama huyu ilikuwaje apo?

106,881 просмотров

Huyu anaitwa Afande nani? na yuko sehemu gani? Appreciation tweet kwake

74,205 просмотров

Hii ajali imetokea Muda huu maeneo ya Chalinze apo ikihusisha Costa ya SPECIAL HIRE iliyokuwa imebeba maiti kupeleka mkoani uko imegongana na lori. Poleni sana jamani Mungu awatie nguvu sana apo, Taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika.

67,429 просмотров

Unawezaje kumpiga Mwanamke ķiasi hiki? Kuna watù wana roho mbaya 🙌

89,619 просмотров

Location: Mwena- Ndanda Saa 11:20 jioni. Chuma imepaki maeneo ya Mwena Ndanda apo, Kwa leo watalala hapo alafu kesho asubuhi wataendelea na safari. Hiyo Boti inaenda Mwanza ni safari ya Mwezi mzima

49,964 просмотров

ALLYS STAR BUS 😷😷, watu wako mbele ya muda Alafu apo anapopita ni machinjioni pabaya kinoma. Hii ni hatari

56,319 просмотров

Happy Nation na Katarama zipo korokoroni, Chanzo ni kutokana na video frame namba moja apo. Wamechomana wenyewe kwa wenyewe

37,630 просмотров

Saa 18:13 jion Hii Boti leo wanalala Ruaha Mbuyuni apa, Leo ni siku ya 13 ya safari. Kutoka Mtwara mpk hapa wameshatembea KM 940 Plus. Mzigo unaenda Mwanza huo, makadirio ya safari ni siku 30. Sikilizeni maelekezo hayo 😄

21,320 просмотров

Huyu dereva wa lori alikuwa anaendesha gari uku amechelewa chakari. Hii mbona hatari sana

17,899 просмотров

Hii ajali imetokea jioni hii mkoani Mbeya kwenye ule mteremko wa Nzovwe hadi kwenye daraja la Iyunga pale. Hii ajali inahusisha magari manne daladala mbili na lori mbili na watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha. Taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika. Poleni sana

17,201 просмотров

Huyo jamaa sijuw hakujua kama watu wapo kwenye mashindano apo 🥲, mbona angekuwa balaa sana

23,592 просмотров

Haya mambo haya mmh

Haya mambo haya mmh

14,907 просмотров

Videos

Adventure_36's profile picture

Msikilizeni mwenye gari

Adventure-360

35,136 просмотров • 20 дней назад

Adventure_36's profile picture

Mzaha mzaha watu wameliwa kichwa, Tena wamekamatiwa Tarime

Adventure-360

43,894 просмотров • 3 месяцев назад

Huyu Dereva wa Crown ameniangusha sana
0:38

Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Adventure_36's profile picture

Huyu Dereva wa Crown ameniangusha sana

Adventure-360

127,052 просмотров • 1 год назад

Adventure_36's profile picture

Hili tukio limetokea asubuhi ya leo mawasiliano apo

Adventure-360

116,544 просмотров • 1 год назад

Adventure_36's profile picture

Ndomana wanasema muwahi nusu saa kabla 😄😄

Adventure-360

100,303 просмотров • 1 год назад

Adventure_36's profile picture

Msikilizeni huyu Komandoo wa Yanga

Adventure-360

113,525 просмотров • 1 год назад

Anayetengeneza hivi ni nani? Ikiwezekana tupate namba yake tumtumie hata hela ya vocha tu , huu ni ukweli mtupu. Retweet hii viongozi waone
1:39