Lawyer, Human Rights Activists,
@simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌
Shorts
Dereva wa malori uko Congo wanapata shida sana, Huyu jamaa bila panga apa sijuw ingekuwaje 😃
198,357 次观看
Wakuu hii video huyu jamaa amerekod kwa kutumia simu gani? Noma sana 🙌
195,410 次观看
Apo kariakoo mtaa wa Congo na mchikichi kuna ghorofa limeporomoka chini muda huu. Poleni sana aisee, taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika.
130,679 次观看
Njia ya Songea - Njombe nyembamba sana. Kama huyu ilikuwaje apo?
106,879 次观看
Huyu anaitwa Afande nani? na yuko sehemu gani? Appreciation tweet kwake
74,205 次观看
Hii ajali imetokea Muda huu maeneo ya Chalinze apo ikihusisha Costa ya SPECIAL HIRE iliyokuwa imebeba maiti kupeleka mkoani uko imegongana na lori. Poleni sana jamani Mungu awatie nguvu sana apo, Taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika.
67,406 次观看
Location: Mwena- Ndanda Saa 11:20 jioni. Chuma imepaki maeneo ya Mwena Ndanda apo, Kwa leo watalala hapo alafu kesho asubuhi wataendelea na safari. Hiyo Boti inaenda Mwanza ni safari ya Mwezi mzima
49,951 次观看
ALLYS STAR BUS 😷😷, watu wako mbele ya muda Alafu apo anapopita ni machinjioni pabaya kinoma. Hii ni hatari
56,315 次观看
Unawezaje kumpiga Mwanamke ķiasi hiki? Kuna watù wana roho mbaya 🙌
89,563 次观看
Happy Nation na Katarama zipo korokoroni, Chanzo ni kutokana na video frame namba moja apo. Wamechomana wenyewe kwa wenyewe
37,630 次观看
Saa 18:13 jion Hii Boti leo wanalala Ruaha Mbuyuni apa, Leo ni siku ya 13 ya safari. Kutoka Mtwara mpk hapa wameshatembea KM 940 Plus. Mzigo unaenda Mwanza huo, makadirio ya safari ni siku 30. Sikilizeni maelekezo hayo 😄
21,320 次观看
Huyu dereva wa lori alikuwa anaendesha gari uku amechelewa chakari. Hii mbona hatari sana
17,899 次观看
Hii ajali imetokea jioni hii mkoani Mbeya kwenye ule mteremko wa Nzovwe hadi kwenye daraja la Iyunga pale. Hii ajali inahusisha magari manne daladala mbili na lori mbili na watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha. Taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika. Poleni sana
17,131 次观看
Huyo jamaa sijuw hakujua kama watu wapo kwenye mashindano apo 🥲, mbona angekuwa balaa sana