
Jebra Kambole
@Advocate_Jebra • 354,024 subscribers
Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032
Shorts
Videos

Chande Chende Chindi Chondo ………….Chundu!!! 😂😂😂 Kimewaka hapa!!!!
Jebra Kambole26,740 Aufrufe • vor 25 Tagen
0:40
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:25
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Huyu ni nani? Maana naona amekamua kisawasawa!! Kawapa makavu
Jebra Kambole85,651 Aufrufe • vor 1 Jahr

Hizi dharau zimezidi sana, mtu nafasi yenyewe ya kupewa kwenye kisosi alafu unadharau watafutaji? Ulitaka wakaibe?, unaenda mbali na kudai wataolewa! Serikali haitoi ajira za kutosha, watu wakipambana unaleta dharau? Hii kiburi ya mboga mboga ni ya kukomeshwa kabisa!
Jebra Kambole93,448 Aufrufe • vor 1 Jahr

Wakuu endeleeni kuchochea moto, nyoka wameanza kutoka vichakani sasa!
Jebra Kambole71,265 Aufrufe • vor 1 Jahr

Mdude amekamatwa na Police Force TZ Usiku huu nyumbani kwake, wamevunja mlango na kumpiga sana!, KWa kuwa tumeamua kuwakabidhi watu wa aina hii bunduki basi matokeo yake ndo haya. Mungu wetu wa mbinguni tunakuomba umponye Mdude Nyagali , kila siku story ni za aina hii, haiwasaidii!!
Jebra Kambole70,209 Aufrufe • vor 1 Jahr

Bibi amenyooka sana, anawazidi ndezi kibao uelewa wa mambo na ujasiri! Ukweli lazima usemwe!!!
Jebra Kambole37,074 Aufrufe • vor 6 Monaten

Hivi huyu anadhani dunia ya Sasa ni ya kuleta Siasa za kishamba za ukichagua upinzani wanaleta vita? Kwanza anaowaambia wanamshangaa! Watanzania sio wajinga! Siasa za ulaghai zishapitwa na wakati!!! Unashindwa kujenga hoja unaamua kuwapumbaza watanzania!! #NoReformNoElection
Jebra Kambole67,312 Aufrufe • vor 1 Jahr

TAL huwa anambinu za kukabiliana na changamoto maeneo ambayo wengi hawana majibu! TAL ni Mwalimu pia na anaifahamu vema nchi hii!!! Hapa ofisi imezingirwa na police hakuna kutoka mtu wala kuingia mtu, yeye anaamua watu wote wabaki ndani waanze kula nondo sasa!
Jebra Kambole72,232 Aufrufe • vor 1 Jahr

Neno Moja kWa Mbangaizaji John Heche atasoma comments zenu!!! 👇🏽
Jebra Kambole61,406 Aufrufe • vor 1 Jahr

Kama hujasikiliza utumbo leo! Başı sikiliza hoja za huyu Francis Luziga ambaye ni Ofisi Mchunguzi Mkuu Daraja La Kwanza Kutoka Tume za Haki Za Binadamu na Utawala Bora!! Huyu ndo unategemea akafanye uchunguzi na bado anakula kodi zetu Kama mishahara!! Safari ni ndefu bado!
Jebra Kambole59,865 Aufrufe • vor 1 Jahr