
CHIEF GODLOVE
@ChiefGodlove666 • 11,048 subscribers
•𝐏𝐇𝐈𝐋𝐀𝐍𝐓𝐇𝐑𝐎𝐏𝐈𝐒𝐓 || •𝐁𝐈𝐋𝐋𝐈𝐎𝐍𝐀𝐈𝐑𝐄|| •𝐇𝐄𝐀𝐋𝐄𝐑 || 𝐂𝐚𝐥𝐥:𝟎𝟕𝟓𝟔𝟑𝟖𝟐𝟐𝟖𝟓 @chiefgmedia
Shorts
Videos
5:04
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
4:02
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Sasa mjomba Hanscana_ waambie vijana wasije psta hela ya kubet wakakimbilia kujenga au kuoa uezi kuendesha familia kwa pesa ya kubet pekee ww ni winga dalali huna kaz maalum inayokuingizia kipato biashara unaotea mzigo unakimbilia kujenga upate sehem ya kujiegesha siku maisha yakigoma jua unajiandaa kuishi maisha ya kimaskini anzisha mifumo tofaut tofauti ya kukuingizia kipato na sio kujenga wala kuoa kuzalisha mitoto hovyohovyo
Chiefgodlove_billionaire44,525 views • 1 year ago
2:55
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

HakunA mwanaharakati anaekupambania wewe 100 percent asiwe na maslah ya tumbo lake usitumike mwanangu amka Pambana Kaza focus na maisha yako wanaharakati waache na harakati zao wewe Kazana na familia yako kumbuka harakati ZA mtu mwingine hazitolisha familia yako wacha kushabikia harakati mtandaoni Nenda kariakoo kapige uwinga au shambani kalime maisha yako ni yako usitumike
CHIEF GODLOVE33,760 views • 1 year ago
4:34
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Mwanaume usihudumie mwanamke usiekua na uhakika kama ni wakwako
Chiefgodlove_billionaire33,992 views • 1 year ago
