Fortunatus Buyobe's banner
Fortunatus Buyobe's profile picture

Fortunatus Buyobe

@fbuyobe143,845 subscribers

Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO

Shorts

Mtoto naye mwamba sana😂😂😂

Mtoto naye mwamba sana😂😂😂

42,722 Aufrufe

Serikali inajali afya za wananchi wake? Hizo video nilizichukua jana nilipompeleka binti yangu hospitali ya Aga Khan Nilishitushwa kutokuta foleni kubwa ya wagonjwa either wakisubiri kumuona daktari, kusubiri dawa dirishani kwa mfamasia, au kusubiri majibu ya vipimo vyao kama ilivyozoeleka. Sio kwamba napenda watanzania wenzangu waugue au napenda msongamano hospitalini, la hasha. Nilikuja kujua baadae sababu ya "upweke" huu pale hospitalini kuwa haujasababishwa na ukosefu wa wagonjwa bali ni serikali kupitia bima ya NHIF ndio walikuwa sababu. Kuanzia tarehe 1 October mwaka huu, baada ya vikao vingi baina ya uongozi wa hospitali ya Aga Khan na wizara ya afya vilivyokosa maelewano, Agha Khan wamechagua kuachana na kuwahudumia wagonjwa wanaotumia bima za afya za NHIF Zimekuwepo kwa sababu kadhaa hadi kufikiwa maamuzi haya 1. NHIF kutolipa bill zake kwa wakati na wakilipa wanalipa pungufu ya wanachodaiwa. 2. NHIF kulazimisha discount ya bei za consultations na vifaa tiba kinyume na policy ya Aga Khan. Sababu zote hizi, ziliifanya Hospital ya Aga Khan kutengeneza hasara kubwa kwa muda wote iliokuwa ikitoa huduma kwa wateja wa NHIF wakati mazungumzo mengi yakiendelea nyuma ya pazia. Baada ya mazungumzo kukwama, Aga Khan ikaamua kutupa taulo ili kukwepa hasara inayotokana na kuhudumia wateja "mzigo" wa NHIF Ndipo maafisa wa NHIF wakaenda kubandika matangazo kwenye hospitali za Aga Khan kuwataalifu wanachama wao kuwa hawafanyi kazi tena na Aga Khan. Mkae mkijua watumishi wengi wa serikali wa Hazina, TRA, BOT, state house na kwingineko, wanatumia bima za NHIF "Green Card" ambao walikuwa wakinufaika na huduma za "first class" kwenye mahospitali binafsi ikiwepo Aga Khan Kwa sasa watumishi hawa wanajikuta wakiachwa njia panda bila kusahau members wa NHIF wote wa madaraja mengine. Hili lina madhara gani? Ifahamike NHIF ndiye mshikadau mkubwa kwa mahospitali binafsi. Unaona hapo jinsi hospitali inavyobaki tupu ikimaanisha loss of business kwa hospitali Usifikiri Aga Khan hajui kuwa anapoteza biashara lakini hana jinsi kwani hawezi kufanya biashara kichaa Upotevu huu wa biashara unaweza ukasababisha redundancy kwa watumishi wengi wa Aga Khan hivyo kuongeza tatizo la ajira. Aga Khan anawakilisha kilio cha hospitali zote binafsi dhidi ya NHIF. Nimefanya uchunguzi na kubaini kuwa hata hospitali zingine binafsi zinazoendelea kuhudumia wateja wa NHIF wanatoa tu huduma za kumuona daktari lakini madawa wagonjwa wanaambiwa wakanunue hata kama bima zao zinaruhusu kupewa dawa hizo. Itafika siku hata hizi hospitali nazo zitaifungia milango NHIF Mimi nawaza tu tabu ambayo wagonjwa watumiao bima za NHIF watakuwa wanapitia kwa sasa Wewe jiulize kama hata hospitali ya taifa ya Muhimbili imeanza pia kutoa consultations tu kwa NHIF huku huduma zingine wakipata kwa mashaka. Je, ni kweli serikali imeshindwa kabisa kutenga fungu kwa NHIF ili waweze kumudu kulipia ankara za wanachama wake? Kipi ni kipaumbele kati ya kutenga pesa za "bao la mama", kizimkazi festival na afya za watanzania? Ne mbwitu! Niamba he,nifuna kutama ngolongondi kumgati...namwene.Maganga yawi lepa. Namyangu wikita kyani ?

49,220 Aufrufe

Videos

fbuyobe's profile picture

Mnakumbuka hii?

Fortunatus Buyobe

136,830 Aufrufe • vor 1 Jahr

fbuyobe's profile picture

Miezi miwili bado?

Fortunatus Buyobe

75,111 Aufrufe • vor 1 Jahr