
Fortunatus Buyobe
@fbuyobe • 143,845 subscribers
Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO
Shorts
Videos
0:28
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

F1 is the footage that surfaced this weekend on social media portraying a headless corpse of a male human being. The voice from the footage alleges the corpse to be found in Tabata area, the suburb of Dar Es Salaam Today I have received credible information that the deceased has been positively identified by his family members as JAMES TEMBA, a second year student at the Institute of Finance Management I’m closely following up the scene to understand the motive of his supposedly culprits
Fortunatus Buyobe98,349 görüntüleme • 1 ay önce

Video hii imesambaa sana mtandaoni. Ndani ya video hii watu wamemshangaa SAID LUGUMI akiliita "Uchafu" moja ya gari linalogharimu mamia ya mamilioni ya fedha. Watu wanaweza wakawa wanajiuliza hivi huyu jamaa ana pesa kiasi gani hadi kufanya kufuru hii? Uzi👇
Fortunatus Buyobe431,493 görüntüleme • 1 yıl önce

Hii documentary ingawa ni nzuri, imepotosha kwa ukubwa kudai kwamba Rais Mwinyi alimkatalia Rais Habyarimana kulala Tanzania Tuhuma hizi ni chonganishi hasa ikizingatiwa ni katika safari hii, ndege ya Habyarimana ilidunguliwa na mauaji ya kimbari yakaanza mara moja
Fortunatus Buyobe16,510 görüntüleme • 27 gün önce

Mbona hili begi halikufunguliwa? Lina kazi gani ndani ya ukumbi wa kupiga kura?
Fortunatus Buyobe162,746 görüntüleme • 1 yıl önce

Mwaka 2016, Video hii ilisambaa mitandaoni ikimuonesha huyu mzee akifanya matumizi ya kufuru kwenye mojawapo ya Supermarket jijini Dar-Es-Salaam Ananukuliwa akimuambia muhudumu achanje kadi yake mpaka ichanganyikiwe kulipia bill. Haya yalifanyika enzi za "Vyuma Vimekaza"
Fortunatus Buyobe189,067 görüntüleme • 1 yıl önce

Kwamba hackers waliweza hadi kutengeneza hii video?
Fortunatus Buyobe131,087 görüntüleme • 1 yıl önce

I said it before kuwa tutaambiwa Padre kakimbia madeni
Fortunatus Buyobe65,815 görüntüleme • 7 ay önce

Rais wangu Samia Suluhu , naamini ukiangalia video hii utapata mengi ya kujifunza.
Fortunatus Buyobe129,234 görüntüleme • 1 yıl önce

"Just to say, CCM imezeeka, ni chama cha majambazi, mnataka kunitoa uhai?"
Fortunatus Buyobe57,394 görüntüleme • 8 ay önce

Huu Wimbo wa SEYA ni utunzi wa Nguza Vicking. Tofauti na wengi wajuavyo, wimbo huu ulirekodiwa kwa mara ya kwanza mwaka1982 katika studio za Radio Tanzania na Band ya Orchestra Maquiz Du Zaire. Aliyeimbisha Wimbo wakati hui ni Kasongo Mpinda Clyton aka Kamanyola.
Fortunatus Buyobe18,435 görüntüleme • 2 ay önce

Kumbe kuna watu walikuwa na intel kuwa mechi itahairishwa mapema kabisa
Fortunatus Buyobe72,283 görüntüleme • 1 yıl önce