Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Huyu jamaa ni muongo sana🤣🤣

170,476 views • 3 years ago •via X (Twitter)

9 Comments

Aayan (أين) 📿's profile picture
Aayan (أين) 📿3 years ago

😂😂

Galileo's profile picture
Galileo3 years ago

Sass pale taraka iliingiaje 🤣🤣

Daktari Wa Manesi 💉💊's profile picture
Daktari Wa Manesi 💉💊3 years ago

Huyu Jamaa na yule Mwenzake anayependa kula wanachekesha sana

Marley Van Joseph's profile picture
Marley Van Joseph3 years ago

Chini kwa chini kwenye Underwear😁😁 kwa msisitizo kabisa😁

Njiku Jr🌻🇹🇿!'s profile picture
Njiku Jr🌻🇹🇿!3 years ago

😂😂😂😂😂😂 huyu jamaa anapaswa kumkiri Yesu maana amezidi kutuongopea!

city_mylife🇹🇿's profile picture
city_mylife🇹🇿3 years ago

mwanajesh wakwanza dunian kuanzisha nguo yamabaka alikula ngoz yakenge.huyu jamaa anapga sana kamba hasa apo kitika kingereza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

mkongwe's profile picture
mkongwe3 years ago

Huyo mwingine yeye kipengele chake kwenye kuigiza ni kula tu, amechagua kipengele kizuri sana 😁😁

M-Tika Pay's profile picture
M-Tika Pay3 years ago

Hakuna neno Dependent 😂😂😂

kamchape⛓'s profile picture
kamchape⛓3 years ago

Nyie huyu jamaaa bhn wampe Grammy eti bei ya utumbo😂😂😂

Related Videos