
Joel Msuya
@JoelyMsuya • 11,816 subscribers
Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Activist & Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055
Videos

Dunia imeanza kuitangaza Tanzania dhidi ya uonevu na ukatili wa haki za binadamu unaofanywa kwa kumpa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu kesi ya mchongo ya uhaini. Raisi Samia Suluhu hiki ndicho unachokitaka kwamba Tanzania ichafuliwee kimataifa? #FreeTunduLissu
Joel Msuya45,888 просмотров • 1 год назад

WARAKA WA KKKT IBADA YA IJUMAA KUU KITAIFA:- Sikiliza waraka wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) leo ktk ibada ya ijumaa kuu. Waraka ambao umesomwa na Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Dayosisi ya Morogoro. “Wanaoteka watu watalipia” “Watawala wakubali kukosolewa”
Joel Msuya21,404 просмотров • 1 год назад

Mimi ni mwanageuzi wa miaka yote, mwanaharakati wa miaka yote. Kwahio hilo wazo, wazo tu kwamba naweza nikaenda CCM halipo, hawa hawa hawa madalali hawa” 😂 Mtia nia wa nafasi ya Uraisi wa JMT 2025 kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Antiphas Lissu akihojiwa na Edwin Odemba Star Tv hii leo.
Joel Msuya26,117 просмотров • 2 лет назад

“Wenzetu wa CHADEMA wanasema #NoReformsNoElection wapo hata baadhi ya wana CCM nao wanasema #NoReformsNoElection lakini wamejificha hawataki waonekane” Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Dayosisi ya Morogoro akisoma WARAKA wa KKKT leo katika ibada ya IJUMAA KUU kitaifa.
Joel Msuya11,617 просмотров • 1 год назад