
joseph_selasini
@joeselasini • 90,932 subscribers
Jesus is truly Present in the Eucharist.
Shorts
Videos

Hijab ni vazi la heshima. Lilipiganiwa ili livaliwe mashuleni kama njia ya kulinda maadili ya wanafunzi na kuwalinda watoto wetu wa kike. Huu ni ushahidi tabia hazijengwi na mavazi. Familia na jamii tumejisahau wajibu wetu. Tusipokuwa makini watoto wetu watatupanda vichwani.
joseph_selasini35,007 görüntüleme • 16 gün önce

Ee Mungu, tunaomba toba na msamaha kwa kauli hizi. Labda unatuadhibu kwa kauli hizi baadala ya mvua za El-nino tunaliona jua kali kama mbadala. Funga vinywa vinavyoukufuru ukuu na mamlaka zako ulizoweke hukumu zao ziwe juu yao. Bikira Maria kitisho cha mashetani. Tuombee.
joseph_selasini32,048 görüntüleme • 17 gün önce

Hii siku zijazo itakuja ku-backfire watu watakuja kujuta; wakati ujinga huu umesha ota mizizi.
joseph_selasini53,019 görüntüleme • 4 ay önce

Naibu Waziri wa Elimu wa Tanganyika Wanu Hafidhi. 😂😂😂😂😂
joseph_selasini77,027 görüntüleme • 7 ay önce

Tumekuwa wajinga kiasi hiki; mambo ya kushikwa bega yamemfikia afisa magereza 😅😅😅
joseph_selasini49,646 görüntüleme • 6 ay önce

Pamoja na kuzimwa Internet Mungu amewathihirisha waovu. Mtu mwadilifu; diwani, mbunge au Rais ukichaguliwa kwa jinsi hii na utakubali kuapishwa? Haya ni mapinduzi ya katiba ibara ya 8 inayosema mamlaka yote hutoka kwa wananchi. Aibu hii ikiunganishwq na mauwaji hamko salama.
joseph_selasini72,046 görüntüleme • 1 yıl önce

Hiki chama kinaleta taharuki huko KATORO kifuteni 😂😂; hata kile kinachosaidiwa na dola hakifui dafu. Walidhani wanamfuata LISSU wakamkamata imekuwa balaa. Raia wako na chama chao. Hata mipango ya kumkamata John Heche haitawarudisha nyuma. Ni jeshi linalozidi kusonga mbele.
joseph_selasini32,592 görüntüleme • 5 ay önce

"Parokia ya Mtakatifu Father Mapendo." "Tunamuombea kwa jina la Baba Mtakatifu." Anaefanya ujinga huu afanye kautafiti au ahusishe wenye akili. Kanisa jimbo kuu la DSM halina parokia ya Mtakatifu Father Mapendo. Hatuombi kwa jina la Baba Mtakatifu. Mnamwaibisha mnaemtumikia.
joseph_selasini46,784 görüntüleme • 9 ay önce