
joseph_selasini
@joeselasini • 90,953 subscribers
Jesus is truly Present in the Eucharist.
Shorts
Videos

Umeshawahi kuusikia huu uongo? Mamlaka anayo uwezo wa kuchukua hata anao; anatumia muda, mafuta ya magari na analipwa kwa kodi zetu kuropoka uongo majukwaani. Kama kijana yupo kwanini asikamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi? Watanzania wamewakataa sasa mmegeuka "content creators."
joseph_selasini18,909 次观看 • 1 个月前

Hiki chama kinaleta taharuki huko KATORO kifuteni 😂😂; hata kile kinachosaidiwa na dola hakifui dafu. Walidhani wanamfuata LISSU wakamkamata imekuwa balaa. Raia wako na chama chao. Hata mipango ya kumkamata John Heche haitawarudisha nyuma. Ni jeshi linalozidi kusonga mbele.
joseph_selasini32,571 次观看 • 2 个月前

Ni aibu kubwa kwa chama kinachojinasibu kuwa kikongwe na chenye wanasiasa wakongwe kushindwa kujibu hoja na kukimbilia bunduki. Wasira, Kihongosi na Happi pumzi imekata. Hakuna wa kuijibu Chadema wala watu wa kuwasikiliza. Tunajua kitakachofuata ni kukamata na kuhoji viongozi.
joseph_selasini16,876 次观看 • 1 个月前

Pamoja na kuzimwa Internet Mungu amewathihirisha waovu. Mtu mwadilifu; diwani, mbunge au Rais ukichaguliwa kwa jinsi hii na utakubali kuapishwa? Haya ni mapinduzi ya katiba ibara ya 8 inayosema mamlaka yote hutoka kwa wananchi. Aibu hii ikiunganishwq na mauwaji hamko salama.
joseph_selasini71,927 次观看 • 9 个月前

Kweli mipango ya Mungu ni siri kubwa. Fikiria huyu ndiye angekuwa Makamu Mkiti wa Chadema chini ya Mbowe. Ni maridhiano gani anayotaka kufanya na vyama? Waathirika wa 29.10.2025 na hali ya siasa nchini ni WANANCHI. Anataka kukataa kwamba wananchi walio wengi wako na Chadema?
joseph_selasini19,446 次观看 • 1 个月前

Kama ilivyo kawaida yao ya kutumia mabavu. Wananchi walipigwa mabomu ya machozi ya kutosha. Kitendawili kimebaki kijana aliyekuwa amebeba miche ya nyanya akipeleka kuotesha ktk bustani yake; Polisi HASSAN amemuuwa kwa kumgonga kwa makusudi akidhani alibeba mirungi. Raia wanasema
joseph_selasini18,297 次观看 • 1 个月前
