
Gerson Msigwa
@MsigwaGerson • 850,137 subscribers
The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports || Chief Government Spokesperson of Tanzania.
Videos

Kuna wakati ni vizuri kuwasikiliza watumiaji wenyewe wa Bandari. Asante Mnyalukolo CHRIS LUKOSI NB. Bandari haijauzwa, haitauzwa na hakuna mpango wa kuiuza. Juhudi zinazofanyika ni za kuongeza ufanisi wa bandari kwa kuweka uwekezaji mkubwa kupitia sekta binafsi ambao utatuongezea mapato kwa zaidi ya mara 3 ikilinganishwa na sasa, utatuongezea ajira, utavutia biashara ya bandari yetu, utatuongezea manufaa ya reli yetu ya kisasa (SGR) na utatujengea uwezo wa kuendesha bandari kisasa. 🙏🏼🙏🏼 GlobalNetTVChannel
Gerson Msigwa568,052 görüntüleme • 3 yıl önce

U F A F A N U Z I. 1. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) lipo katika mchakato wa kuanza safari za Ulaya. Huko sio kuzuiwa. 2. Serikali haijanunua na haina mpango wa kuanza kununua vichwa vya treni za SGR vya kutumia mafuta ya dizeli. Tunanunua vya umeme, haturudi nyuma. PUUZENI UPOTOSHAJI HUU.
Gerson Msigwa111,697 görüntüleme • 1 yıl önce

Hii hapa habari njema kwa Watumishi wa Umma. Ni nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1. Kima cha chini kitaongezeka kutoka shilingi 370,000/- hadi shilingi 500,000/-. Pia nyongeza nono kwa watumishi wa ngazi nyingine za mshahara. Nikisema KAZI NA UTU!!!! unajibu………. Asante Mheshimiwa Rais. Hii ni imani kubwa kwa Watumishi wa Umma na imani huzaa imani (wenye D mbili tumekusoma) #KaziIendelee
Gerson Msigwa78,488 görüntüleme • 1 yıl önce

Haya waliokuwa wanasema “MSIGWA ANATUPIGA SOUND” Mabehewa 6 haya hapa yamefika. Mmeviona vitu vya ghorofa hivyo? Na ni kwa mara ya kwanza Tanzania, tutasafiri katika reli ya kisasa - SGR na tunaanza kwa kishindo kwa kutumia mabehewa ya ghorofa, Chezea Samia wewe??? Vichwa vinaanza kuja Julai, 2023 na mabehewa 24 yaliyobaki yatakuja kwa awamu. TUPO VIZURI. #KaziIendelee
Gerson Msigwa116,536 görüntüleme • 3 yıl önce

Tazama maboresho makubwa ya Hospitali ya Taifa Muhimbili yatakavyokuwa baada ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupata fedha kiasi cha shilingi Trilioni 1.2 za ujenzi huo. Tunakwenda kuijenga Muhimbili ya viwango vya Kimataifa. Tunakwenda kujiimarisha katika utalii wa matibabu. #Samia4 #KaziIendelee
Gerson Msigwa56,865 görüntüleme • 1 yıl önce

Mtalii wa Ndani Masanja amefika Mkoa wa raha na mahaba, Tanga hoyeeeeeee!!!! Ametangulia kusafisha njia wakati Wananchi wa Tanga wanamsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeanza ziara ya Mkoa wa Tanga keshokutwa tarehe 23 Februari, 2025. TANGA MPO TAYARI??????
Gerson Msigwa52,259 görüntüleme • 1 yıl önce

Michango ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania kuhusu ufanisi katika uendelezaji na uendeshaji wa Bandari hapa nchini Tanzania. Ni wakati walipochangia bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Mwaka 2023/24 Bungeni, Jijini Dodoma wiki mbili zilizopita. Kwa mjadala wa wazi kuhusu uendelezaji na uendeshaji wa Bandari, karibuni katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali leo kuanzia saa 3:00 usiku ambapo viongozi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) wataeleza kwa kina, kujibu hoja za wananchi na kupokea maoni na ushauri.
Gerson Msigwa93,420 görüntüleme • 3 yıl önce

DUNIA ILIVYO NGUMU kuna watu watambishia hata huyu Mzee Nazir Karamagi, muasisi wa kampuni ya TICTS iliyopewa mkataba wa kuendesha magati 4 ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 22 na sasa mkataba umekwisha na TICTS wameondoka zao. MSISITIZO. Bandari haijauzwa, haitauzwa na hakuna mpango wa kuiuza. Wawekezaji watakodishwa na wakikodishwa watalipa pango na watalipa kodi, muda wa mikataba tutakayokubaliana utakapokwisha tutaamua waendelee au waondoke. Wakizungua tutawafurusha na tutatafuta mwekezaji mwingine. HUU NDIO UKWELI.
Gerson Msigwa84,984 görüntüleme • 2 yıl önce