
Nape Moses Nnauye
@Nnauye_Nape • 1,052,741 subscribers
Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
Shorts
Videos

Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa!
Nape Moses Nnauye350,426 просмотров • 2 лет назад

Umethibitisha kwa vitendo kuwa wewe ni muumini wa haki! Na kwa hakika HAKI ITAINUA TAIFA LETU!
Nape Moses Nnauye143,049 просмотров • 3 лет назад

Atakayepatia hapa ni wapi nchini Tanzania, TZS 20,000/-. Watu 10 wa mwanzo!
Nape Moses Nnauye108,573 просмотров • 2 лет назад

Hongereni kwa ubunifu huu!! This one was missing!! All the best!!👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Nape Moses Nnauye58,062 просмотров • 1 год назад

Kuondoka kwako kaka ni pigo kubwa kwa Tasnia ya Habari na Burudani nchini… Pumzika kwa Amani kaka😭
Nape Moses Nnauye23,218 просмотров • 1 год назад