
Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania • 2,007,433 subscribers
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Shorts
Videos

Kikosi kimeshindwa kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kutokana na uhaba wa viwanja uliopo mjini Bukoba. Kutokana na ubora mdogo ambao hauendani na ukubwa wa Ligi yetu, benchi letu la ufundi limeamua kutokufanya mazoezi kwani endapo watafanya mazoezi katika uwanja huo utawaweka wachezaji katika hatari ya kupata majeraha. #NguvuMoja
Simba Sports Club129,359 Aufrufe • vor 2 Monaten

Mungu wetu hajawahi kutuacha 🙏 Hatuna huruma na watu wanaotumia nguvu za giza. #NguvuMoja
Simba Sports Club19,688 Aufrufe • vor 10 Tagen

Mambo ya mbele 🌏 kwenye ardhi ya Tanzania 🇹🇿 Muite Elie Mpanzu de Lima. #NguvuMoja
Simba Sports Club20,349 Aufrufe • vor 11 Tagen

Star gani wa kikosi chetu unatamani kupiga nae selfie? 🤳🏽 #NguvuMoja
Simba Sports Club19,738 Aufrufe • vor 17 Tagen

Bao la kututenganisha SISI na wao kwenye CAF Champions League. #NguvuMoja
Simba Sports Club35,835 Aufrufe • vor 1 Monat