
Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania • 1,999,746 subscribers
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Shorts
Videos

𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐅𝐎𝐑 𝐅𝐈𝐅𝐀 𝐏𝐔𝐒𝐊Á𝐒 𝐀𝐖𝐀𝐑𝐃. Dunia imeona bao bora zaidi mwaka huu ni kutoka kwa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama. Utamu wa bao hili zaidi ni kumfunga mtani na kuchangia mtu kuliwa kichwa. Jambo la kufanya kwa Mwanasimba ni kutag akaunti ya FIFA ujumbe uwafikie mapemaaaaa!!! #NguvuMoja
Simba Sports Club37,288 次观看 • 1 个月前

“Hili linaweza kushinda tuzo ya goli bora la mwaka duniani.”- haya sio maneno ya semaji au admin, haya ni maneno ya mchezaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Rio Ferdinand kuhusu uzuri wa bao la Clatous Chota Chama dhidi ya mtani Young Africans. Basi kuna watu wanaumia 😂😂😂 🎥 Clouds Media #NguvuMoja
Simba Sports Club16,108 次观看 • 17 天前
3:12
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kutoka kina kirefu cha Bahari ya Hindi, sanduku la Usajili 2025/26 limewafikia Watu wa Republic (kitengo cha Habari na Mawasiliano Msimbazi). Mabibi na mabwana sasa tuko tayari kushusha Simba hatari wa kula maadui wa nchi kavu 🐅🦅🍦👮♂️🍇🐕🦍 na majini / matopeni 🐸 📲 Lipia Simba App, jiunge na Simba Mastori au Instagram Subscriptions ili kuwa wa kwanza kupata raha hizi. #NguvuMoja
Simba Sports Club94,663 次观看 • 10 个月前