
Joseph Mbilinyi
@TheRealJongwe • 438,602 subscribers
Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.
Shorts
Videos

Ni akili zinaanza kuwarudia ama nini?! Tumekuwa tukiwaambia kuhusu UONEZI huu lakini mkaziba kabisa masikio! Asante kwa hatimaye KUKIRI but this is too LITTLE too LATE, kwani watu wengi WAMESHAUMIA sana, watu wengi WAMESHAUAWA sana na tunataka UWAJIBIKAJI kabla ya yote…
Joseph Mbilinyi58,343 Aufrufe • vor 7 Monaten

Hahaha walipitisha mgombea Urais kwa ‘spirit’ bila kufuata utaratibu wa chama chao? Hata ukiangalia walioshangilia ni wachache kuliko waliokaa. Meza kuu wote nyuso zimejaa HOFU! NB:Yuko wapi Jaji Mutungi na Sisty wake?Au jukumu lao ni kukwamisha CHADEMA tu?! #NoReformsNoElection
Joseph Mbilinyi60,458 Aufrufe • vor 1 Jahr

Mimi Jongwe, I endorse this STATEMENT from our Vice Chairman John Heche #NoReformsNoElection
Joseph Mbilinyi59,572 Aufrufe • vor 1 Jahr

Watu wananitumia hii clip,wanasema wamemiss hizi SWAGGA mjengoni. Mimi nawakumbusha kuwa mpaka kufika hapo,kuna watu WALIKUFA na wengine VILEMA mpaka leo kwa kupambana ili NITANGAZWE! NB:Siko tayari tena kwa Ubunge wenye DAMU za watu.Hata kama NAKUBALIKAJE! #NoReformsNoElection
Joseph Mbilinyi45,922 Aufrufe • vor 1 Jahr

Na huu ndio msimamo wetu pia sisi Chadema kanda ya Nyasa…Hakuna kurudi nyuma. #FREELISSU
Joseph Mbilinyi16,294 Aufrufe • vor 5 Monaten

Huu ndio umekuwa msimamo wetu KABLA na BAADA ya ripoti ya kubumba ya Bwana Chande… #Statesman
Joseph Mbilinyi10,322 Aufrufe • vor 2 Monaten

Baada ya Ugaidi wa Sept. 11 USA, Rais G.W. Bush aliwasihi Wamarekani wasipate uoga kiasi waache kuishi maisha yao…Aliwaambia GO DINNERS, GO MOVIES as usual kwani mkiishi kwa hofu Magaidi watakuwa WAMESHINDA! NB: Nasi tukiishi kinyonge WATESI wetu watakuwa WAMESHINDA ✌🏾 #NRNE
Joseph Mbilinyi26,199 Aufrufe • vor 1 Jahr

Bado kuna watu wa maana kabisa duniani hawajaijua Tanzania…Wengi wanaijua Zanzibar, Mt Kilimanjaro na hata Serengeti lakini hawajui kama vyote viko Tanzania! NB: Kuna mtu/watu wameshindwa ku-pick up na kuendeleza hata juhudi za #RoyalTour. #TAITA #Statesman #KaziYaNchi
Joseph Mbilinyi24,433 Aufrufe • vor 1 Jahr