
Joseph Mbilinyi
@TheRealJongwe • 438,512 subscribers
Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.
Shorts
Videos

Ni akili zinaanza kuwarudia ama nini?! Tumekuwa tukiwaambia kuhusu UONEZI huu lakini mkaziba kabisa masikio! Asante kwa hatimaye KUKIRI but this is too LITTLE too LATE, kwani watu wengi WAMESHAUMIA sana, watu wengi WAMESHAUAWA sana na tunataka UWAJIBIKAJI kabla ya yote…
Joseph Mbilinyi58,309 просмотров • 6 месяцев назад

Hahaha walipitisha mgombea Urais kwa ‘spirit’ bila kufuata utaratibu wa chama chao? Hata ukiangalia walioshangilia ni wachache kuliko waliokaa. Meza kuu wote nyuso zimejaa HOFU! NB:Yuko wapi Jaji Mutungi na Sisty wake?Au jukumu lao ni kukwamisha CHADEMA tu?! #NoReformsNoElection
Joseph Mbilinyi60,449 просмотров • 10 месяцев назад

Mimi Jongwe, I endorse this STATEMENT from our Vice Chairman John Heche #NoReformsNoElection
Joseph Mbilinyi59,554 просмотров • 11 месяцев назад

Watu wananitumia hii clip,wanasema wamemiss hizi SWAGGA mjengoni. Mimi nawakumbusha kuwa mpaka kufika hapo,kuna watu WALIKUFA na wengine VILEMA mpaka leo kwa kupambana ili NITANGAZWE! NB:Siko tayari tena kwa Ubunge wenye DAMU za watu.Hata kama NAKUBALIKAJE! #NoReformsNoElection
Joseph Mbilinyi45,889 просмотров • 10 месяцев назад

Na huu ndio msimamo wetu pia sisi Chadema kanda ya Nyasa…Hakuna kurudi nyuma. #FREELISSU
Joseph Mbilinyi16,221 просмотров • 3 месяцев назад

Baada ya Ugaidi wa Sept. 11 USA, Rais G.W. Bush aliwasihi Wamarekani wasipate uoga kiasi waache kuishi maisha yao…Aliwaambia GO DINNERS, GO MOVIES as usual kwani mkiishi kwa hofu Magaidi watakuwa WAMESHINDA! NB: Nasi tukiishi kinyonge WATESI wetu watakuwa WAMESHINDA ✌🏾 #NRNE
Joseph Mbilinyi26,199 просмотров • 1 год назад

Bado kuna watu wa maana kabisa duniani hawajaijua Tanzania…Wengi wanaijua Zanzibar, Mt Kilimanjaro na hata Serengeti lakini hawajui kama vyote viko Tanzania! NB: Kuna mtu/watu wameshindwa ku-pick up na kuendeleza hata juhudi za #RoyalTour. #TAITA #Statesman #KaziYaNchi
Joseph Mbilinyi24,432 просмотров • 1 год назад

Jiji la Atlanta ndio linamiliki Atlanta International Airport, uwanja wenye abiria wengi zaidi kwa mwaka duniani. Pia ndio makao ya Delta Airlines.Tunapotaka kuwaunganisha Wafanyabiashara wetu lazima tujue watafikaje kwa urahisi… @airtanzania_atcl #TAITA #Statesman #KaziYaNchi
Joseph Mbilinyi19,607 просмотров • 1 год назад

Haya yote wanaongea wenyewe sio sisi! 😎 #NoReformsNoElection
Joseph Mbilinyi15,541 просмотров • 11 месяцев назад
Больше нет контента для загрузки