#nguvumoja
3:12
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

🎥 Kiwango cha Kibu Denis akiwa mazoezini kimemkosha kocha Oliviera na kuamua kumchagua kuwa mchezaji bora wa mazoezi ya jana na hata kumpa zawadi. Kocha amesema huo ni utaratibu wake wa kutoa zawadi kwa mchezaji anayemvutia. Hapa anaeleza kilichomfurahisha kwa Kibu. #NguvuMoja
Simba Sports Club270,202 次观看 • 3 年前
