#tanzania

Day 2 of Mbeya strike in #Tanzania The young bajaj drivers and hawkers are chanting “we don’t want this leadership” They have rejected the illegitimate MP, the Regional Commissioner Things are boiling nicely! Salute Mbeya naona nyie kweli mna msimamo! Hakuna kuwachekea hawa viongozi haramu ni maneno matupu hawana maamuzi - ni remote control ya Kizimkazi gang! Komaeni hadi #TutaelewanaTu Tanzania nzima TUAMKE!
Maria Sarungi Tsehai47,114 次观看 • 2 天前
3:02
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
1:55
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:39
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:34
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

#TANZANIA: BILA KATIBA MPYA HATUTASHIRIKI UCHAGUZI - CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesema hakitoshiriki kwenye uchaguzi wowote hadi pale serikali itakapokubali mchako wa Katiba mpya itakayosaidia kuwa a uchaguzi huru na haki. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Serengeti, Naibu Katibu Mkuu bara, Aman Golugwa amesema serikali bado ina muda mrefu wa kujiandaa na kufanikisha suala hilo la Katiba mpya huku Makamu Mwenyekiti bara, John Heche akiitaka serikali kuja na mikakati ya kujenga viwanda vitakavyosaidia ajira kwa vijana.
MwanzoTvPlus49,498 次观看 • 18 天前
0:41
Sensitive content
This media may contain sensitive content.






