正在加载视频...
视频加载失败
360 ni nini wazee?
75,208 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Myunani1 年前
Postpaid plans hizi kwa Watumiaji wa Voda, unachagua Plan unayohitaji then nakuunga unalipia moja kwa Moja kwenda Voda Hiyo plan ndo unakuwa Unapewa Kila Baada ya siku 30 Activation fee 5k Baada ya Huduma Mahitaji Tin Nida Namba ya simu

Solar Heavy1 年前
On the Horizon out now on all platforms

Satoshi nakamoto1 年前
Sister yupo very innocent. Na sijaona shida yoyote kwake maana hiyo lugha haijui! Na alichokua anaambiwa ni upuusi 😀

Myunani1 年前
😀😀😀aonyeshe tu nyaash

N.g.o.m.e.s.h.a1 年前
Angezuka tu hapo kesi iishe😄

Myunani1 年前
Hajui kaka

Gabbar singh1 年前
apo anazungumzia angle yaan 36o° alimaanisha azunguke😂😂😂😂😂ety aah mm napenda u model😂😂😂😂

Njiwapori 10k1 年前
Alitaka aone mviringo nafikiri wenye nyuz 360

Myunani1 年前
😀😀😀daaah binti haelewi

Kunta The Defender1 年前
Mageuko hayo

Myunani1 年前
Haelewi tajiri
