Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Add caption.! 😄😄
51,438 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
31 Yorum

😁😁😁😁 ila wazee si mnajua kapitia changamoto nyingi jamani,muacheni hata ainjoi kidogo,ugumu wa maisha si mchezo mjue

Njaa na nyege nivitu hatari sana

Aliyesema Time will tell alijua alichomanisha Tutacheza kote ila wakti ukifika utatoa majibu

Maskini hana kiapo😂

Maskini hana kiapo

@RealLoisMo Maskini hana kiapo mzee😂😂😂

nimegundua kwann WaTz shule inakuaga Ngumu,jamaa hajasema kuwa hajawahi kufanya kazi ma chama cha siasa, laa alichosema ni kwamba hajawahi kupost katika account yake

Njaa na msimamo havijawahi kukaa sehemu moja.

Hii sio ahadi ya pesa pekee, umu wanatumia mpk vitisho

@BlessdGrooveKid Daah😂💔

Njaa na msimamo havikai pamoja

😁😁😁😁😁😁 kaka kuwa mtu wa haki sio swala la lelemama linataka watu waliojikana nafsi

Haja wahi post kitu chochote kuhusiana na vyama hajasema hajawahi kufanya kazi na vyama

Huyu tumwache tu atoe shukrani zake kwa aliyopitia na alivyosaidiwa tufanye ni special tusimdiscuss

Tukiongea mambo mengine tutaambiwa cyber bullying.

mgaa gaa na upwa hali Wali mkavu

Tumbo huwa linawaza mataqo yanye tuu, tumbo haliwazi kwamba akili ndio inayotoa chakula !!

Ilikuwa ni bei tu 🤣

Aiseee

Njaa na nyege wazee sio mchezo🙄

Alikua animba kama hataki walimkazia tu aende kwa lazma

Njaa na Viapo havikaagi nyumba moja 😃😃

Chidi....umejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe

Unafiki ni ugonjwa mbaya

Masikini hana msimamo.

😂😂😂

Njaa mbaya😁

Ogopa MUNGU, wazazi na MTANDAO

😆😆

😂🤣😂🤣😂

Kawa chawa
