Loading video...
Video Failed to Load
Aisee kuna miaka Flani...
12,672 views • 1 year ago •via X (Twitter)
2 Comments

Latto 𝕏1 year ago
Leonardo leo katukumbushia miaka ambayo kila mtaa lazma ukutana na Library za Movie 😂😂😂😂 Enzi hizo unaambiwa waliofungua Library walikuwa wamefeli form 4, Na nyumbani kwao kulikuwa na Computer.. Msikilize 😂😂😂 Video kwa Comments 👇

Vitus Jumah1 year ago
Jamaa fundi hasa alivyounganisha kazi yake na tangazo
