Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Alhamdulilah, Tumevuka 🙏🏽🙏🏽 #Simba #NguvuMoja

31,038 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

24 Kommentare

Profilbild von krrishlex
krrishlexvor 1 Jahr

Bendera ya Taifa inapepea

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

- All I Knew

Profilbild von onex omondi
onex omondivor 1 Jahr

Leo nusu fainali ya kombe la shirikisho inamliza mtu

Profilbild von Abbie Junior
Abbie Juniorvor 1 Jahr

Kombe round hiii linakuja boss tuna team madhaifu madogo sanaa

Profilbild von Adonia Damas
Adonia Damasvor 1 Jahr

Kila mechi unaweka hii picha, ulipiga wakati huo unaishabikia 🦁 , simba ile ambayo ikicheza lazima ufike na wewe uwanjani😂 Sijui imekuwaje, Toka useme inakupa hasara hajawahi fika uwanjani hata kama inafanya vizuri. Fika uwanjani, tupate picha nyingine na muonekano wako mpya

Profilbild von Baya Baya
Baya Bayavor 1 Jahr

Tajiri yule tryagain mwambie tunamuombea pepo kwa kumleta mpanzu

Profilbild von Chinga one
Chinga onevor 1 Jahr

🦁

Profilbild von Ase'
Ase'vor 1 Jahr

Asante sana Boss, hongera na kwako pia, hakika wana lunyasi tumefurahi sana, God is great all the time. #Simbanguvumoja 💪🦁

Profilbild von Joel Mshana
Joel Mshanavor 1 Jahr

Bado timu inahitaji washambuliaji

Profilbild von Nyawita TheBoss
Nyawita TheBossvor 1 Jahr

2.3B unakosaje kutu bless boss 😅😅 sorry km nimekuboa ni ndani ya furaha tuu😅😅

Profilbild von Gabriel Ssebuyoya
Gabriel Ssebuyoyavor 1 Jahr

🦁🦁🔥🫶

Profilbild von Dingi wao
Dingi waovor 1 Jahr

Kwa kuchechemea tajiri huko mbele mtapigwa mpaka mchakae

Profilbild von Ramsö 93
Ramsö 93vor 1 Jahr

Nguvu moja

Profilbild von Billy
Billyvor 1 Jahr

CONGRATULATIONS TAJIRI

Profilbild von Swahili__A💊
Swahili__A💊vor 1 Jahr

Ndio

Profilbild von IDDY YUSUPH
IDDY YUSUPHvor 1 Jahr

Tajir hii ndo faida ya uwekezaji endelea kuweka pesa usisite kombe litakuja nyumban nakwambia one day ata ili litakuja inshallah

Profilbild von Bangs_valentino
Bangs_valentinovor 1 Jahr

Boss ebu mtag kigwangwala

Profilbild von Patrick Kaozya
Patrick Kaozyavor 1 Jahr

Unastahili kushukuriwa mnoo

Profilbild von calpizsr
calpizsrvor 1 Jahr

👏👏🦁💪

Profilbild von Jumaah Salumu
Jumaah Salumuvor 1 Jahr

Yes! We cross.

Profilbild von Ahmed kassim@@
Ahmed kassim@@vor 1 Jahr

Tajiri nipo nakunywa mo energy apaa

Profilbild von Kipanya03
Kipanya03vor 1 Jahr

Alhamdulilah!!!!!

Profilbild von martin Euzebius kajeguhakwa
martin Euzebius kajeguhakwavor 1 Jahr

Tumevuka tajiri @moodewji na tunachukua hili kombe kama ilivyokuwa ndoto yako sikuzote

Profilbild von xabi
xabivor 1 Jahr

Tunashukuru boss kwa kuijenga Team!! Mungu akupe maisha marefu

Ähnliche Videos