Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Alichojibu Mchungaji...
22,848 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
12 Yorum

Trump aliona kuwa amedhalilishwa na yule mchungaji aliyeomba Awaonee huruma watu wa mapenzi ya jinsia moja.. Ambapo alipost na kutaka Amuombe Msamaha.. Mchungaji kagoma katu katu kumuomba Trump msamaha Msikilize.. Video kwa Comments👇

Alichoandika Trump

Aliposema

Hakuna mchungaji humuu Huwezi kunibilia niokoee kupitia huyu mchungaji hawa ndio wachungaji waongoo alio wasema yesu tujiazali nao Huwezi kuwatetea machoko tena mbele ya raisi Kama vipii anyongwee 😂

Huyu mchungaji nimemuelewa vizuri tu ila na wasi wasi huenda na yeye yumo kitu ambacho kinanipa wasiwasi hajatoa suluhisho Cha kukemea na kuondokana na kizazi kibaya kinacho mtukana Mungu kwa uumbaji wake, kwaio Mungu amekosea kutuumba jinsia mbili!?

This is insane, what kind of Bible does this bishop read? What the God that this bishop believes in?

Huyu mchungaj aadhibiwe tu ,, anaboa knoma,, ningekua Mungu ningesha kasirika,, Mungu anahuruma sana , ila huyu anaboa

hili kanisa la huyu mama kama lipo hapa nchin linabid lipewe BAN

Hii video ya 2020

Mpuuzi tu huyu Wala sio mtumishi wa Mungu

Anapo-quote Mwanzo 1: 27 ilitakiwa aongezee, mtu mme na mtu mke. An overly superficial reference into Scripture

Huyu n shoga tu
Benzer Videolar
Sensitive content
Vipi maboss connection yake bado mnayo ya ndugu mchungaji wetu mpya au mmeshaifuta?? Mizigo yote mitatu bado ipo kama unataka kujikumbushie unaweza kujisogezaa tuu muhimu ni mchungaji wetu tukafanyeibadaa maboss
CONNECTIONKUBWAKUBWA
169,635 görüntüleme • 2 yıl önce
