Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ila Mchungaji 😂🙌 Hacheki na wowotee.....
59,136 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Kuna Mzee mmoja Yuko mbeya anafanana sana na huyu jamaa

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

point tupu

True👊

IQ kubwa sana

Ukweli ndo huo

Namkubali San huyu mchungaji

Nyumba yangu ya kwanza ni mama yangu.....!

Yupo sahihi mchungaji Kuna kile kikauli utasikia uyu jamaa ana adharau sana daah uyu anajisikia hawezi kuishi na Watu vizur 😃😃😄uoga tu wamaisha Usipende kumnyemnyekea Kila mtu au Usipende Kila mtu akuone mstaarabu sometimes unakaza tu kama mbwai iwe mbwaimbwai tu 😃

Anatuchekecha huyu tunataka vitendo mwaisa

Kazingua mchungaji kajisahau kuwa yeye ni mwanaume halafu kamsahau mpak Baba yake that is Nothing point 🗑🚮🚮🚮
